Mchezaji namba 1 kwa ubora duniani (mchezo wa tenesi kwa wanaume), Novak Djokovic, hatotetea ubingwa wake wa Madrid Open baada ya kujitoa kwenye mashindano ya mwaka huu. Djokovic ameomba radhi …
Makala nyingine
Mchezaji wa tenesi namba 2 kwa ubora duniani (wanaume) – Daniil Medvedev, atakosekana kwenye mashindano ya Monte Carlo Masters baada ya kukutwa na maambukizi ya COVID19. Medvedev amewekwa kwenye uangalizi …