Nadal Afikisha Ushindi wa 1000 Kwenye ATP

2020 inaendelea kuwa njema kwa Rafael Nadal. Baada ya kutwaa ubingwa wa French Open, sasa amefikisha ushindi wa 1000 katika mchezo wa ATP Tour.

Nadal anakuwa ni mchezaji wa 4 kufikisha idadi hii ya ushindi. Jimmy Connors anaongoza kwa kuwa na ushindi katika michezo 1,274 akifuatiwa na Roger Federer (1.242) pamoja na Ivan Lendl (1,068).

Wachezaji wanaoongoza kwa kushinda michezo mingi ya ATP. (Chanzo ni ATP, kupitia BBC)

Nadal alikabidhiwa tuzo ya kioo iliyoandikwa 1000 kama sehemu ya kusherehekea ushindi wake wa 1000 kwenye safari yake ya kucheza mchezo wa tenesi. Katika mchezo huo, Rafael alimfunga Feliciano Lopez.

“Mpaka kufikia hii namba, nimeshafanya mambo mengi sana. Ni fahari kuendelea kucheza nikiwa nina miaka 34, lakini hii sio kwangu tu bali ni kwa familia na timu yangu nzima.” alisema Rafael.


USHUJAA UNAKULIPA HAPA!

Hii ni halisi kwa ajili ya mashujaa wote! Ukiwa jasiri unavuna mkwanja kibao hapa na sloti hii ya Huangdi Casino. Waka nusu tukupe maradufu!

Ingia Mchezoni!

25 Komentara

    Vizuri Sana kupambana ndio kitu kizuri mpaka kupata lekodi nzuri

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera kwake

    Jibu

    Nadal ni mtu pekee sana na pia aliupenda sana mpira

    Jibu

    Hongera Nadal wewe ni gwiji

    Jibu

    Ni hatua ya kujivunia kwa mwanamichezo. Wakati fulani nilimusikia akisema atastaafu pale tu nguvu zitakapomwishia

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    wakati wake nadal sasa ukiachana na wakina serena

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Pongezi kwa nadal

    Jibu

    Yuko vizuri pongezi kwake

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Anastahili pongezi

    Jibu

    Pongezi kwake!

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hongera sana

    Jibu

    Hongera yake

    Jibu

    Hongera sana Nadal.ww ni mfano wa kuigwaa

    Jibu

    Big up kwake

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nadal mtu mwingine

    Jibu

    My fav player of all time in tennis😍

    Jibu

    Nadal amezid kuweka rekod na anzid kukimbizan na federer

    Jibu

    Congrats kwake Nadal 🀝🀝🀝

    Jibu

    Nadal anajua sana

    Jibu

Acha ujumbe