Naomi Osaka Aungana na Rafael Nadal.

Kuelekea kuanza kwa mashindano ya Wimbledon, Naomi Osaka ameungana na Rafael Nadal kujiondoa kwenye mashindano hayo.

Osaka ambaye tayari alijiondoa kwenye French Open, amechukua uamuzi wa kujiondoa kwenye Wimbledon ili apate muda mrefu zaidi wa kukaa na familia yake wakati huu ambao anasema hayupo sawa kiakili (ana msongo wa mawazo).

Mapema wiki hii, Rafael Nadal alitangaza kujiondoa kwenye mashindano ya Wimbledon sambamba na Olympic ili ajiimarishe zaidi kiafya. Kwa Osaka ni tofauti, licha ya kujitoa kwenye Wimbledon, Naomi Osaka anatarajia kushiriki mashindano ya Olympic ambayo yatafanyika Tokyo, Japan. Mji anaotokea bingwa huyu wa pili kwa ubora duniani (wanawake).


SHINDA TSH 150,000,000/=

Mtaani kumechangamka, washkaji wanakamata mkwanja kwa mkakati tu na Footbal Fever! Ni rahisi, changamkia fursa hii kushinda mgao wako wa TSH 150,000,000/= 💰🤑

Atletico, Atletico Waunga Tela kwa Calhanoglu, MeridianbetINGIA MCHEZONI

Acha ujumbe