Novak Djokovic Ajitoa Kwenye Serbia ATP.

Wakati mashabiki na waandaji wa mashindano ya Australian Open wakiafuatilia kwa karibu muenendo wa Novak Djokovic, tayari ameshajitoa kwenye ATP.

Mashindano ya ATP kwa nchi 16 yanatarajiwa kuanza Jumamosi hii huku Djokovic ambaye alikuwa kwenye timu ya Serbia, akiamua kujitoa kwenye mashindano hayo. Nafasi ya Novak Djokovic sasa imechukuliwa na Dusan Lajovic.

Taarifa rasmi kutoka jijini Melbourne, Australia, zimeripoti kuwa, washiriki wote wa mashindano hayo, watatakiwa kuwa wamepata chanjo ya COVID-19. Yeyote ambaye hatofuata utaratibu huo, hataruhusiwa kushiriki mashindano hayo mwakani.

Kuelekea mashindano ya ATP, nafasi ya Austria imechukuliwa na Ufaransa baada ya Dominic Thiem na Dennis Novak kujiondoa kwenye mashindano hayo.

 


 

KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe