Serbia: Novak Djokovic Vipimo vya Uviko-19 Vilikuwa Halali

Mwendesha mashitaka wa nchini Serbia amesisitiza kuwa vipimo vya mchezaji tennis namba moja duniani Novak Djokovic vilikuwa halali, hakukuwa na udanganyifu wowote uliofanyika.

Mshindi huyo mara 20 wa Gland Slam kutokea Serbia, ambaye alisafiri mpaka nchini Australia pasipo kuchanja ili kwenda kushiriki michuano ya Australia Open, baada ya kupima na kukutwa hana maambukizi nakupewa kibali maalum ili aweze kusafiri.

Novak Djokovic

Taarifa ya BBC kuhusu utata wa vipimo vya mchezaji huyo kutoka Serbia Noavk Djokovic, kutokana na “serial number” au namba ya uthibitisho kuhusu vipimo vyake kuwa kubwa, kuliko kipimo chake alichopima na kukutwa hana maambukizi mwezi 22 December ndiyo iliyozua maswali.

Mwendesha mashitaka wa Belgrade nchini Serbia, alisitiza kuwa vipimo havikufanyiwa udanganyifu wowote alinukuliwa kwenye waraka wake,“Novak Djokovic alifanya vipimo zaidi ya mara moja na matokeo ya kuanzia 16 December hadi December 22 yalikuwa halali.”

Kukosena kwa Novak Djokovic kwenye michuano ya Australia open , kulimpa nafasi muhispania Rafael Nadal kuweza kushinda Grand Slam ya 21, na kumfanya kuwa na Grand Slam nyingi zaidi kuliko yeyote, kwa kumshinda  Daniil Medvedev kwenye fainali ya Australia Open kwenye mchezo uliochezwa kwa set tano.


VUNA MKWANJA NA KENO

Dakika tano pekee zinakutosha kuwa mmoja wa washindi wa mkwanja mrefu ndani ya kasino pendwa ya meridianbettz katika sloti maridhawa ya KENO, moja ya michezo inayoipa thamani dau lako.

tetesi, Tetesi za Soka barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe