Makala nyingine

Yametimia, baada ya miaka 44, Ashleigh Barty anakuwa raia wa kwanza wa Australia kutwaa ubingwa wa Australian Open. Barty ameibuka kidedea baada ya kumfunga Danielle Collins kwa matokeo ya seti …

Ni wikiendi ya burudani iliyotawaliwa na hisia kwa wananchi wa Australia wakati wanatazamia kuchezwa kwa fainali za Australian Open 2022. Baada ya miaka 42, raia wa Australia anafanikiwa kucheza fainali …

Burudani ya mchezo wa tenesi inaendelea viwanjani. Stefano Tsitsipas ametinga hatua ya nusu fainali kwa ushindi mnono. Tsitsipas alikuwa uwanjani akichuana na Jannik Sinner katika mchezo wa robo fainali. Stefano …

Mashindano ya Australian Open 2022 yanaendelea kunoga, hatua ya nusu fainali hiyo kurindima. Rafael Nadal, ndani ya nyumba. Licha ya kuhitajika kuvishinda vikwazo vingi uwanjani, Nadal amefanikiwa kutinga hatua ya …

Mchezaji namba 2 kwa ubora duniani (wanaume), Daniil Medvedev, amefuzu hatua ya 16 bora kunako mashindano ya Australian Open. Medvedev alikua uwanjani akichuana na Botic van de Zandschulp katika uwanja …

Bingwa mtetezi wa Australian Open (wanawake), Naomi Osaka, amevuliwa rasmi ubingwa baada ya kupoteza mchezo wa hatua ya tatu ya mashindano ya mwaka huu. Osaka alikuwa uwanjani kuchuana na chipukizi, …

Amahakika, ng’ombe wa masikini hazai. Licha ya kuwa nje ya uwanja kwa muda kutokana na majeruhi, kurejea kwa Andy Murray kumeishia mzunguko wa pili kule Melbourne. Murray amerejea kwenye mashindano …

Mchezo wa mzunguko wa pili (kwa wanawake) umemalizika kunako Australian Open. Naomi Osaka vs Madison Brengle ni burudani! Osaka ameonesha ukomavu na ustahimilivu uliojaa uwezo mkubwa wa kupiga mipira yenye …

Jiji la Melbourne, Australia, linaendelea kuburudika na mashindano ya Australian Open yanayoendelea nchini humo. Baadhi ya mastaa wanaendelea kufanya vizuri viwanjani. Daniil Medvedev amefanikiwa kutinga hatua ya pili ya michuano …

Wakati headlines za Djokovic vs Serikali ya Australia zikiwa zimetamatika, mashindano ya Australian Open 2022 yameanza rasmi leo. Naomi Osaka ameanza kwa kishindo. Bingwa mtetezi wa Australian Open (wanawake), Naomi …

Mchezaji namba moja wa  tennis duniani Novak Djokovic matumaini ya kushiriki  Australian Open yamezima kama kama kukatika kwa umeme baada ya mahakama kutupilia mbaki rufaa yake dhidi ya kibali cha …

Wakati muda ukiyoyoma kuelekea mashindano ya Australian Open, Januari 10,2022. Ushiriki wa bingwa mtetezi, Novak Djokovic, ni gumzo duniani. Djokovic anaingia kwenye headlines za michezo na siasa duniani kwa kitendo …

1 2 3 4 5 9 10 11