Roger Federer Kukosekana Australian Open.

Kwa wadau wa mchezo wa tenesi, bila shaka uwezo na burudani ya Roger Federer ni kitu cha kipekee uwanjani. 

Federer yupo nje ya uwanja kutokana na majeruhi ya mguu ambavyo yamekuwa changamoto kwa sehemu kubwa kwa mwaka 2020/21.

Kutokana na hali yake, Roger Federer ameweka wazi kuwa – anauwezekano mkubwa wa kutocheza mashindano ya Wimbledon pamoja na Australian Open 2022. Hii ni kutokana na muda wa mashindano haya, yeye atakuwa bado anapambana kurejea kwenye hali yake.

Kwa mujibu wa Federer, uwezekano wa yeye kurejea uwanjani ni majira ya joto mwaka 2022.


WIKI NJEMA NA CRAZY TIME CASINO!

Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe