Katika hali isiyo ya kawaida au pengine mashabiki wengi hawakutegemea, Serena Williams atolewa kwenye mashindano ya French Open 2021.

Williams alikuwa akichuana na Elena Rybakina katika mchezo wa mzunguko wa 4 kunako mashindano ya Roland Garros.

Matokeo ya seti 6-3 7-5 yalimtosha Elena kuisitisha safari ya Williams ya kuifikia rekodi ya Margaret Court (mataji 24 ya Grand Slams) kupitia mashindano ya mwaka huu.

Baada ya kuondolewa kwenye mashindano haya, sasa ni dhahiri, Serena Williams atakuwa akijipanga kuisaka rekodi ya Court kupitia mashindano ya Wimbledon yatakayoanza kutimua vumbi Juni 28, 2021.

Williams anakuwa mchezaji bora wa 10 kuondolewa kwenye mashindano ya French Open mwaka huu.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA


 

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa