Bingwa mara 6 wa Mashindano ya US Open – Serena Williams, ameyaaga mashindano hayo baada ya kutolewa katika hatua ya nusu fainali.
Katika mchezo uliowakutanisha wakongwe wawili wa mchezo wa tenisi – Serena na Azarenka, Mmarekani huyu alijikuta akishindwa kufua dafu mbele ya mpinzani wake.
Mchezo ambao ulikuwa wa aina yake, ulikuwa mgumu kwa Williams baada ya kupata majeruhi akiwa ameshapoteza seti moja, mambo yalianza kumuendekea kombo kuanzia hapo.

Mchezo huo ulimalizika kwa ushindi wa seti 1-6 6-3 6-3 na hivyo Azarenka amefuzu hatua ya fainali ya Mashindano hayo.
Serena Williams aishia nusu fainali – US Open 2020.
Williams na Azarenka ni wapinzani wa muda mrefu, mchezo wao wa mwisho walikutana kwenye Robo Fainali ya Wimbledon 2015. Kwa rekodi, wamekutana mara 22 na Williams ameshinda mara 18.
Mchezo wa fainali utamkutanisha Azarenka dhidi ya Naomi Osaka, nani atatwaa ubingwa wa US Open 2020?
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.
Mwajumah
Daah sio mbaya serena kwan ndio mashindano yalivyo asiekubal kushindwa sio mshindan#Meridianbettz
Sauda
Pole sana Serena, kwenye mchezo kuna matokeo matatu, inabidi ukubaliane na yote…Ila hadi kufikia robo fainali ulijitahidi pia…
felister
sad news
Sabrina
Duh Amekua na msimu mbaya serena kutolewa nusu fainal ni mbaya kwake ila kunawatoto chipukizi wamejipanga kupindua meza kibabe
Dorophina
Bad news kwa mashabiki wa serena
Khadija
duh!!!jamani kulikon#meridianbettz
Adelta
Pole Sana Serena umekuwa hauko kwenye msimu mzuri Ila mchezo mwingine utafanya vizuri@meridianbettz
Theonestina
Duuuh
Lydia Emmanuel Magoti
Duu Matokeo mabaya kwa Serena Pole sana
Furahav
Mmmh hatari sana.
Sadick
Serena anapotea kwenye ulimwengu wa tennis amekuwa na kiwango duni tangu ajifungue#meridianbettz
Juliet
Daah habar mbaya izi kwa mashabiki
warda
Jamani Imeniuma sana#Meridianbettz
kabogoro
ametolewa ila ameonyesha uwezo sana
kwanz umri wake na muda aliyo dumu kweny tenes tamgu mwaka 1999
akicheza grand slam yake ya kwanz.
Tumaini kasalile
Pole yake
Mariam mtandama
Habari njema
Samiah
Habar njema
Mwanahamisi
Pole yake
Elika
Pole kwake
aisha
Pole sana serena lakini hadi ulipofikia ulijitahidi sana
Ernest
Haikuwa bahati ya Serena Williams, ajipange tena kwa ajiri ya mashindano mengine
Magdalena
Pole sana Serena kajipange tena kwa wakati ujao
lombo
saf
Zeiyana
Wakati wake serena hushakwisha
Rehema
Eeeeh bwanae!
Latifa juma mohamed
Habar mbaya.
Latifa juma mohamed
Haikuwa nafasi yake kwa kipindi hiki, ajipange Tena kwa ajil ya msimu ujao natumai atafanya vema.
Ester jackson
Pole sasa Serena kwa majeraha uliyo yapata pia tunaimani na wewe kupotesa mchezo sio kwamba umepoteza mashabiki