Sofia Kenin Nje, Ashleigh Barty Afuzu Australian Open 2021.

Mambo yamemuendelea kombo bingwa mtetezi (wanawake) wa Australian Open, Sofia Kenin. Ayaaga mashindano mapema huku Ashleigh Barty akiendelea kusonga mbele.

Kenin amejikuta akitaabika dhidi ya mpinzani wake, Kaia Kanepi walipokutana pale Margaret Court Arena. Ndani ya saa1 na dakika 4, Kenin alipigwa seti zote kwa matokeo ya 6-3 6-2.

Kwa matokeo haya, Kanepi atachuana na Donna Vekic katika mzunguko wa tatu wa mashindano ya Australian Open 2021.

Ashleigh Barty

Katika mchezo mwingine, bingwa namba 1 wa dunia – Ashleigh Barty alimlaza na viatu mpinzani wake, Daria Gavrilova kwa matokeo ya seti 6-1 7-6 (9-7).

Barty atachuana na Ekaterina Alexandrova katika mchezo wa mzunguko wa tatu.


TENGENEZA MKWANJA UKIWA NA MERIDIANBET 

Unaweza kuvuna mkwanja mrefu kadiri uwezavyo kupitia mchezo wa Gold n Rocks kwenye  kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ni rahisi! Vigezo na masharti, kuzingatiwa.

SOMA ZAIDI

8 Komentara

    Nataka kuona Naomi akifanya vzr kwenye mashindano haya yenye heshima kubwa

    Jibu

    Naomi Yuko vizuri mashindano yazima ashinde

    Jibu

    Hongera sana Sofia

    Jibu

    Safi Sana Sophia

    Jibu

    Naomi yupo vizuri sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Naomi najua yuko vizuri sana

    Jibu

    Imekaa poa

    Jibu

Acha ujumbe