Kuelekea mashindano ya Olympics yatakayofanyika Tokyo 2020, Japan – Andy Murray ajumuishwa kwenye kikosi cha Uingereza.
Bingwa mara mbili wa Olympics [Andy Murray] atachuana na Dan Evans kwenye mpambano wa mchezaji mmoja mmoja na atashirikiana na Joe Salisbury katika timu ya wachezaji wawili kwa wawili.
Murray amekuwa nje ya uwanja baada ya kupata majeruhi ya paja na kuelekea mashindano ya Tokyo 2020, ataanza kwa kucheza mashindano ya Wimbledon kwa mara ya kwanza tangu 2017.
Jamie Murray amekosa nafasi kwenye kikosi cha Timu ya Uingereza lakini Heather Watson na Johanna Konta watashiriki mashindano ya Tokyo 2020 kwa upande wa wanawake.
Hakuna mipaka ya ushindi kwenye Keno Instant ya meridianbet Kasino, hii wewe ndiyo una uamuzi zaidi juu ya mchezo na nafasi ya machaguo kibao.