Tsitsipas Atinga Nusu Fainali Ya 3 Mfululizo.

Mambo yanazidi kupamba moto kunako mashindano ya French Open 2021. Stefanos Tsitsipas anaendelea kuonesha ubora wake kwenye uwanja wa tope.

Tsitsipas alikuwa uwanjani akichuana na Daniil Medvedev katika mchezo wa robo fainali. Matokeo ya seti 6-3 7-6 (7-3) 7-5, yalimtosha Stefanos kumuondoa Medvedev kwenye mashindano ya Roland Garros na kutinga hatua ya nusu fainali.

Zverev anawania nafasi ya kuwa mchezaji mdogo zaidi kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Grand Slam. Rekodi hii inashikiliwa na Novak Djokovic ambaye alifanya hivyo 2011.

Stefanos sasa atachuana na Alexander Zverev ambaye amefuzu hatua ya nusu fainali baada ya kumfunga Alejandro Davidovich Fokina kwa matokeo ya seti 6-4 6-1 6-1


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

Acha ujumbe