US Open

Novak Djokovic

Novak Djokovic Aifikia Rekodi ya Federer.

10
Mchezaji wa tenesi raia wa Serbia, Novak Djokovic ameifikia rekodi ya mchezaji mwenzake raia wa Hispania, Roger Federer ya kuwa mchezaji wa 1 duniani kwa muda wa wiki 310. Djokovic anauhakika wa kuvunja rekodi hiyo kuanzia wiki ijayo na sasa...

Naomi Osaka Awekeza Kwenye Soka.

15
Bingwa mara 3 wa Grand Slam, Naomi Osaka, amewekeza kwenye soka la wanawake. Hii ni baada ya kuwa na umiliki kwenye timu ya North Carolina Courage. North Carolina Courage ni timu ya wanawake inayoshiriki ligi kuu ya soka la wanawake...
Matukio

Matukio 5 Ya Kukumbukwa Kwa Mwaka 2020.

14
Licha ya mwaka 2020 kuwa na matukio mbalimbali ya kuhuzunisha, kufurahisha, kushtusha na kadhalika. Tukiwa tunaelekea mwishoni mwa mwaka 2020, tuyatizame matukio 5 ya kukumbukwa katika mwaka 2020. Baada ya michezo kusimama kwa takribani miezi 3, msimu wa EPL 2019/20 ulirejea...
French Open

French Open: Thiem, Nadal, Serena Wang’ara

33
Kunako mashindano ya French Open, bingwa wa US Open - Thiem, magwiji - Rafael Nadal na Serena Williams waanza kwa kishindo. Bingwa mara 12 wa French Open - Rafael Nadal, alikuwa uwanjani akipambana na Egor Gerasimov. Mchezo uliotumia masaa 2...
Italian Open

Italian Open: Djokovic Atinga Fainali 2020

39
Kunako mashindano ya Italian Open, bingwa namba 1 duniani - Novak Djokovic, amefuzu hatua ya fainali baada ya ushindi dhidi ya Casper Ruud. Djokovic ameibuka mshindi baada ya kumaliza mchezo kwa matokeo ya seti 7-5 6-3  dhidi ya mchezaji namba...
US Open

US Open 2020: Thiem na Osaka Mabingwa

19
Hayawi hayawi, sasa yamekuwa. US Open 2020 imemalizika kwa namna ya kipekee, michezo ya fainali ilikuwa na burudani ya aina yake. Thiem na Osaka mabingwa wapya wa Mashindano haya. Kwa upande wa wanaume, Thiem alikuwa akichuana na Zverev katika fainali...
Zverev

Zverev Afuzu Fainali ya US Open 2020

19
Mjerumani Alexander Zverev kwa mara ya kwanza amefuzu fainali ya Grand Slam kwenye Mashindano ya US Open. Mchezo wa nusu fainali ulimkutanisha Alexander dhidi ya Mhispania Pablo Carreno Busta. Busta alikuwa kwenye kiwango thabiti na kumfanya mpinzani wake kuwa na...
Serena

Serena Williams Atolewa US Open 2020

28
Bingwa mara 6 wa Mashindano ya US Open - Serena Williams, ameyaaga mashindano hayo baada ya kutolewa katika hatua ya nusu fainali. Katika mchezo uliowakutanisha wakongwe wawili wa mchezo wa tenisi - Serena na Azarenka, Mmarekani huyu alijikuta akishindwa kufua...
Serena Williams

Serena Williams Afuzu Robo Fainali US Open

30
Baada ya kukutana na upinzani mkali kutoka kwa Maria Sakkari, bingwa mara 6 wa US Open - Serena Williams amefuzu robo fainali ya Mashindano hayo. Ulikuwa  ni mchezo wa aina yake, ambapo wachezaji wote walionesha uwezo wao katika mchezo uliochezwa...
Djokovic

Djokovic Aomba Radhi US Open

21
Mchezaji nyota wa tenisi - Novak Djokovic alijikuta katika wakati mgumu baada ya kushindwa kuvumilia hasira zake na kumdhuru msimamizi wa mchezo. Kitendo hicho kilitokea wakati Novak akiwa uwanjani kupambana na Pablo Correno Busta. Novak alitoa tenesi mfukoni na kuipiga...

MOST COMMENTED

Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali.

14
Ratiba ya Soka Leo Ligi Mbalimbali Tarehe 19 December 2020. Ratiba: England - Premier League 15:30 Crystal Palace vs Liverpool 18:00 Southampton vs Manchester City 20:30 Everton vs Arsenal 23:00...

HOT NEWS