Mchezaji namba moja wa tenesi duniani Novak Djokovic hatakuwepo kwenye viunga vya BNP Paribas Open kwenye Indian Wells , ambayo yataanza oktoba 4, awali Djokovi alikuwepo kwenye listi kabla ya kujiondoa baada ya kupoteza kwenye US Open dhidi ya Daniim Medvedev mapema mwezi huu.
Novak Djokovic amethibitisha kuwa hatakuwepo kushiriki nichuano ya BNP Paribas Open kwenye Indian Open wiki hii. mchezaji huyo namba moja hajacheza mchezo wowote tangu apoteza jwenye mihuano ya US Open dhidi ya Medvedved.
Djokovic ni bingwa mara tano wa Indian Wells, michuano hiyo inayoanza, na kutokuwepo kwake inamaana kuwa Medvedved atapata nguvu ya kutawala michuano hiyo.
Mkuregenzi wa mashindano Tommy alisema, “tumesikitishwa kuwa novak hataweza kuwepo kwenye mashindano yetu, ila tunatumaini kuwa atarejea kwenye michuano ya mwezi machi na kutafuta ubingwa wa sita.”
SPACE SPIN NA MERIDIANBET.
Ni Mabingwa pekee Meridianbet wanakupa nafasi ya kushinda zaidi na mchezo wa Space Spin katika kasino bomba za meridianbet. Ni wakati wa kufurahia na kutengeza mkwanja bila kuwaza.