Wimbledon 2021, Djokovic vs Berrettini Finali.

Baada ya kukuru kakara za hapa na pale, fainali ya Wimbledon 2021 hii hapa. Ni Novak Djokovic vs Matteo Berrettini.

Djokovic anafuzu hatua ya fainali baada ya kumburuza Denis Shapovalov kwa matokeo ya seti 7-6 (7-3) 7-5 7-5. Berrettini ataninga fainali baada ya kumfunga Hubert Hurkacz seti 6-3 6-0 6-7 (3-7) 6-4 .

Tangu 1976, hakuna mchezaji mwanaume raia wa Italia aliyefanikiwa kucheza fainali ya Grand Slam. Berrettini anakuwa Muitaliano wa kwanza kutinga fainali akiwa na umri wa miaka 25.

Fainali ya Wimbledon 2021 itachezwa Jumapili masaa kadhaa kabla ya fainali ya Euro 2020.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe