Wimbledon 2021: Federer vs Norrie Mzunguko wa 3

Mashindano ya Wimbledon 2021 yanaendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini Uingereza. Rodger Federer kuchuana na Cameron Norrie kwenye mzunguko wa 3.

Federer ameendelea kuonesha uwezo wake mkubwa kwenye mashindano haya ambapo amefanikiwa kumfunga Richard Gasquet kwa seti 7-6 (7-1) 6-1 6-4 kwenye mzunguko wa 2.

Kwa upande wa Norrie, hii ni mara ya kwanza anafuzu mzunguko wa 3 baada ya kumfunga Alex Bolt kwa seti 6-3 6-1 6-2. Norrie ameonesha uwezo wake kwa sehemu kubwa ya ATP mwaka huu. Kabla ya mchezo huu, Norrie alikua amepoteza michezo 3 ya mwanzo dhidi ya Bolt kabla ya kushinda michezo 11 mfululizo dhidi ya mpinzani wake.

Mzunguko wa 3 kunako Wimbledon 2021 utachezwa leo ambapo Federer ataingia uwanjani kupambana na Norrie miongoni mwa michezo mingine itakayoendelea leo.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe