Makala nyingine

Baada ya kuwa nje ya uwanja kwa miezi 3, Roger Federer aanza maandalizi ya Wimbledon kwa ushindi dhidi ya Ilya Ivashka. Federer amerejea uwanjani kwa mara ya kwanza baada ya …

Bingwa mara 6 wa Mashindano ya US Open – Serena Williams, ameyaaga mashindano hayo baada ya kutolewa katika hatua ya nusu fainali. Katika mchezo uliowakutanisha wakongwe wawili wa mchezo wa …

Mashindano ya Western and Southern Open yanaendelea kutimua vumbi mjini Cincinnati – Marekani. Novak Djokovic na Johanna Konta wanaendelea kuwaburuza wapinzani wao na sasa wamefuzu hatua ya nusu fainali. Katika …

Mchezaji wa tenisi – Andy Murray amekiri kupungua kasi yake wakati huu anaotizamia kurejea kwenye Mashindano ya ATP Tour wikiendi hii. Bingwa mara 2 wa Wimbledon– [Andy]Murray atakutana na Mmarekani …

Utafiti uliofanywa na jarida la Forbes, umeonesha wachezaji wanawake wanaocheza mchezo wa Tennis ni miongoni mwa wanamichezo matajiri duniani. Katika orodha ya wachezaji 10, 9 wanacheza mchezo wa Tennis wakati …

Mkali wa mchezo wa tenisi duniani, Novak Djokovic amesema kwamba yeye atakwenda kinyume na suala la wao kulazimishwa kupatiwa chanjo ya ugonjwa wa Corona ambao umeibuka ili kushiriki michuano yao! …

Mwana michezo wa mchezo wa Tenisi mwenye Asili ya marekani Coco Gauff anapitia kipindi kigumu cha tatizo la kisaikolojia lililotokana na kukua gafla kwa umarufu wake wa haraka kwenye mchezo …

Kwa mara ya kwanza tangu vita ya pili ya dunia, mashindano ya tennis ya Wimbledon hayatakuwepo mwaka huu kutokana na janga la Virusi vya Corona(covid19). Mashindano ya Wimbledon yalitakiwa kuchezwa …

Mara nyingi wadhamini huwa na mchango mkubwa sana kwenye maendeleo ya mchezaji hasa katika kujenga wasifu wake. Jambo hilo mara nyingi huwafanya wachezaji wengi kuhangaika nalo ili angalau waweze kuwa …

  Nyota wa tenisi, Roger Federer amekumbushia historia yake ya maisha ya tenisi kwa miaka 15 iliyopita siku alipokutana kwa mara ya kwanza uwanjani na Rafael Nadal na alipopoteza mechi …

1 2
Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.