HABARI ZAIDI
Rafael Nadal Kushiriki Australian Open
Nyota kutokea nchini Hispania Rafael Nadal ametua kwenye jiji la Melbourbe nchini Australia ili kushiriki michuano ya Australian Open baada ya kupona ugonjwa wa...
Ashleigh Barty Amaliza Msimu 2021.
Mchezaji namba 1 kwa ubora (wanawake) duniani, Ashleigh Barty, ameamua kumaliza msimu wa 2021 mapema kwa malengo binafsi.
Barty alikuwa aingie uwanjani mwezi ujao kutetea...
Wimbledon 2021, Konta Aathiriwa na COVID19
Imekuwa kama ngekewa kwa Johanna Konta kuelekea mashindano ya Wimbledon 2021. Maambukizi ya COVID19, yanaendelea kuharibu mipango ya wachezaji.
Kwenye soka, baadhi ya wachezaji wamejikuta...
Amir Khan: Ngumi Moja Tu Inatosha!
Bondia muingereza Amir Khan ameibuka na kumuonya bondia mwenzake Conor Benn kuhusu pambano lake na Samuel Vargas jioni ya leo.
Amir Khan amemwambia Benn kuwa...
Miami Open: Osaka na Medvedev Watolewa Nje.
Pengine ni matokeo ambayo wengi hatukuyatarajia kwenye mashindano ya Miami Open 2021. Upande wa wanawake, Naomi Osaka amefungashiwa virago vyake huku Daniil Medvedev akiungana...
Miami Open: Osaka na Barty Wasonga Mbele.
Mambo yanazidi kunoga kunako mchezo wa tenesi. Mashindano ya Miami Open, 2021 yanaendelea kushika hatamu. Kushinda na kushindwa zote ni sehemu za mchezo.
Mjapan, Naomi...
Novak Djokovic Aifikia Rekodi ya Federer.
Mchezaji wa tenesi raia wa Serbia, Novak Djokovic ameifikia rekodi ya mchezaji mwenzake raia wa Hispania, Roger Federer ya kuwa mchezaji wa 1 duniani...
Naomi Osaka Awekeza Kwenye Soka.
Bingwa mara 3 wa Grand Slam, Naomi Osaka, amewekeza kwenye soka la wanawake. Hii ni baada ya kuwa na umiliki kwenye timu ya North...
ATP: Indian Wells Yaathiriwa na COVID19.
Mashindano ya Indian Wells yaliyokuwa yamepangwa kufanyika Machi 2021, yameghairishwa kutokana na mlipuko wa COVID19 kwa mujibu wa ATP.
Ukiachana na mashindano ya Grand Slams...
Naomi Osaka Binti Mdogo Mwenye Utajiri wa Tenisi.
Naomi Osaka, 22, ni mwanatenisi maarufu raia wa Japan aliyewahi kuorodheshwa namba moja duniani na Shirikisho la Tenisi ya Wanawake Duniani (WTA).Ndiye mwanatenisi wa...
MAONI YA HIVI KARIBUNI
Kesheni milahula on Ligi 10 Bora Barani Africa 2022.
Akanji: Haaland Atafunga Magoli 50 Msimu Huu on Haaland wa 4 Kuvuta Mkwaja Mrefu Ulaya, Lakini Hamfikii Mbappe
Ubashiri wa Meridian | Simba Kuwashukuru Mashabiki Wake on Simba SC Yamuaga Rasmi Pascal Wawa.
Jabir on Hatua za Kujisajili Meridianbet | Unapewa Zawadi ya Ukaribisho
Sadick on Tyson: Tukio Bora Maishani Mwangu ni Kifo cha Mama Yangu