Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Arsenal imesaidiwa katika harakati zake za kumsajili kiungo wa kati wa Uturuki Yusuf Yazici baada ya ajenti wake kukiri kwamba mchezaji huyo huenda akaondoka katika klabu ya Lille.

Kipa wa klabu ya Manchester United Dean Henderson, 23, atafuatilia uhamisho wake wa mkopo ili kuimarisha hadhi yake katika kushiriki kombe la mabingwa Ulaya huku klabu za Leeds na Brightong zikihusishwa na ununuzi wa mchezaji huyo mwezi Januari.

Tetesi zinasema Manchester City imesitisha harakati zake za kutaka kumsajili mshambuliaji nyota wa Barcelona Lionel Messi, 33, kulingana na mtaalamu wa soka wa Uhispania Semra Hunter.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Mshambuiaji wa Ufaransa Olivier Giroud, 34, amekiri kukosa muda wa kushiriki katika mechi Chelsea kunamtia wasiwasi na kwamba huenda akafanya maamuzi kuhusu hatma yake ya siku zijazo mwezi Januari.

Tetesi zinasema Aliyekuwa kiungo wa kati wa Tottenham Christian Eriksen, 28, yuko huru kuondoka Inter Milan mwezi Januari , afisa mkuu wa klabu hiyo ya Itali Beppe Marotta amethibitisha.

Tetesi zinasema Chris Wilder, ambaye klabu yake ya Sheffield United ipo chini ya jedwali la ligi ya premia ikiwa na pointi moja pekee anasisitiza kwamba haogopi kufutwa kazi.

Jeraha la mguu la beki wa Barcelona na Uhispania Gerard Pique, 33, huenda likabadilisha jinsi klabu hiyo itakavyomtafuta beki mwengine mwezi Januari kujaza pengo lake.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema katibu wa kwanza wa kiufundi wa klabu ya Barcelona Ramon Planes atakutana na kocha mkuu Ronald Koeman ili kujadili kuhusu usajili wa beki.

Kiungo wa kati wa Rennes na Ufaransa Eduardo Camavinga, 21, amehusishwa na uhamisho kuelekea Tottenham na anakiri angependelea uhamisho wa kujiunga na klabu kuu ijapokuwa anafurahia kusalia katika klabu.

Kiungo wa kati wa Ufaransa Matteo Guendouzi, 21, ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Hertha Berlin, anadai kwamba amepata motisha aliyopoteza chini ya mkufunzi Mikel Arteta akiwa Arsenal.

Kiungo wa kati wa West Ham na Uingereza Declan Rice amekiri kwamba kuachiwa na Chelsea akiwa umri wa miaka 14 kulimnufaisha kama mchezaji.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 Tsh kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

27 Komentara

    Mess awezi kwenda man city

    Jibu

    Itakuwa vizuri sana eriksen akiondoka hapo inter Milan na kwenda kuangalia ustaarabu sehemu nyingine

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    arsenal wamefanya vyema sana kumsajili uyo kiungo ili waweze kukiinua kikosi chao

    Jibu

    Atakavyoona yeye abaki au sending

    Jibu

    Arsenal wamefanya vyema Sana kumsajiri kiungo huyo aje akimalishe kikosi

    Jibu

    Uwamuzi in wake

    Jibu

    Atakavyoona yeye

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Nice information

    Jibu

    Asante kwa makala bomba

    Jibu

    Declan Rice maisha ni popote haujui wapi ambapo kutakufanya ukawa na furaha

    Jibu

    Maamuzi yake yy mwenyewe

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Uwamuzi ni wake

    Jibu

    Nice

    Jibu

    habar njema

    Jibu

    Good

    Jibu

    Haya tetes mda mwngne zna ukwel ndan yake

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Maamuzi niyake mwenyewe

    Jibu

    Maamuzi ni yake

    Jibu

    Safi sana kwa hili

    Jibu

    Taarifa iko poa

    Jibu

    SAfi

    Jibu

    Tetesi ziko poa

    Jibu

Acha ujumbe