Tetesi zinasema Pep Guardiola anataka Manchester City kumsajili Jack Grealish, baada ya kubaini kiungo huyo wa kati wa Aston Villa na England, 25, kama kipaumbele chake katika mipango yake ya kuunda kikosi kipya.

Kocha wa Man United Ole Gunnar Solskjaer anasisitiza mlinda lango Dean Henderson “anataka kusalia Manchester United”, licha ya ripoti kuwa mchezaji huyo wa kimataifa, 23, huenda

Tetesi zinasema Chelsea ina imani kuwa Giroud atasalia lakini hatamzuilia ikiwa mchezaji huyo wa Ufaransa atataka kuondoka.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema Real Madrid bado haijapokea ofa yoyote kwa ajili ya kiungo wa kati wa Uhispania Isco, 28, ambaye amehusishwa na Manchester City na Arsenal.

Borussia Dortmund iko tayari kuanzisha tena mikakati ya kumsaka kiungo wa kati wa Inter Milan raia wa Denmark Christian Eriksen, baada ya kuhusishwa na mchezaji huyo, 28, aliyekuwa Tottenham mapema mwaka huu.

Kocha wa Wolves Nuno Espirito Santo ana imani kuwa wataanza kupata magoli na kupunguza shinikizo kwa mfungaji mzuri wa magoli mshambuliaji raia wa Mexico Raul Jimenez, 29.

Ole Gunnar Solskjaer amemuambia mshambuliaji wa Ufaransa Anthony Martial, 24, hawezi kutulia na tajiba yake yote akiwa Manchester United baada ya mwanzo mgumu wa msimu kwa timu hiyo.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema QPR itamsaka tena beki wa kati na kumuuza mlinzi wa Jamhuri ya Ireland wa Under-21 Conor Masterson, 22, kwa mkopo dirisha la usajili litakapofunguliwa Januari.

Nahodha wa Aston Villa Jack Grealish anakabiliwa na hatari kushtakiwa kwa kosa la nne la uendeshaji mbaya wa gari mwaka huu kulikotokea karibu na eneo la kufanya mazoezi la klabu hiyo mwezi uliopita.


USICHELEWE KUKAMATA MKWANJA HUU!

Hadi 130,000,000 TSH Kutolewa kwa washiriki wa shindano la Playson Cashfall. Unaipata kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet Pekee. Jisajili sasa, kisha ingia mchezoni kabla ya Novemba 29.

Meridianbet Tanzania Casino

SOMA ZAIDI

23 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa