Tetesi zinasema kiungo wa kati Mjerumani Sami Khedira, 33, anasema anaweza kuhamia katika Primia Ligi wakati mkataba wake na Juventus utakapoisha msimu huu.

Mkataba wa kipa wa AC Milan Gianluigi Donnarumma unamalizika mwaka 2021 lakini kijana huyo wa kimataifa Muitaliano mwenye umri wa miaka 21- anasema wakala wake ataongea na klabu na anataka kuendelea kubakia nao kwa muda mrefu.

Tetesi zinasema Liverpool wamekuwa wakihusishwa na mlinzi wa Ajax Perr Schuurs, 21, lakini the Reds hawajafanya dau lolote kwa ajili ya Mholanzi huyo.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Celtic wanataka kumsaini kiungo wa kati wa Crystal Palace na Jamuhuri ya Ireland James McCarthy, lakini Aston Villa na Burnley pia wanamtaka kijana huyo mwenye umri wa miaka 30.

Tetesi zinasema kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anasema hafikirii sana kuhusu wale watakaoingina na kutoka wakati wa dirisha la uhamisho la wachezaji la mwezi wa Januari.

Viungo wa safu ya kati Riqui Puig, 21, na Carles Alena, 22, wanapigania hali zao za baadaye katika timu ya Barcelona sawa na mshambuliaji Mdenmark Martin Braithwaite, 29, na kiungo wa nyuma kushoto Muhispania Junior Firpo, 24.

Winga wa Ufaransa Florian Thauvin anasema aliondolewa na mkurugenzi wa masuala ya kiufundi wa AC Milan Paolo Maldini akisema timu hiyo ya Serie A side iliitaka kumsajili.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema Juventus wanamtaka kiungo wa safu ya kati nyuma wa Atletico Madrid na kiungo wa kati nyuma wa Montenegro Stefan Savic, 29,ili kuimarisha safu yao ya ulinzi.

Tetesi zinasema beki wa zamani wa kushoto wa Brazil Roberto Carlos amesema mpango wake wa kuhamia Chelsea ulio afikiwa mwaka 2007 na ulivunjwa tu katika nyakati za mwisho.

Barnsley wanaangalia uwezekano wa kurefusha mkataba wa mkopo wa Leicester City kumuhusu mchezaji wa safu ya kati Matty James katika klabu hiyo, huku mkataba wa Muingereza huyo mwenye umri wa miaka 29 ukitarajiwa kumalizika mwezi wa Januari.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

10 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa