Tetesi zinasema Paris St-Germain wanatazama uwezekano wa kumsajili kiungo mchezeshaji wa Barcelona Lionel Messi, 33, msimu ujao.

Meneja wa Club Brugge Philippe Clement amesema hakutaka kumsajili Mshambuliaji wa Aston Villa Mtanzania Mbwana Samatta mbaye anacheza kwa mkopo katika klabu ya Fenerbance ya Uturuki.

Manchester United wanamfikiria Harvey Barnes wa Leicester, kama itawezekana awe mbadala wa winga mwenzie Jadon Sancho ,20 , anayekipiga Borussia Dortumund.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Mshambuliaji wa England Danny Ings,28, ametakiwa na kocha wake Ralph Hasenhuttl. kusaini mkataba mwingine wa muda mrefu katika klabu ya Southampton.

Tetesi zinasema Manchester United wamefanya mawasiliano na wawakilishi wa mshambuliaji wa Barcelona Ousamane Dembele,23, kuhusu usajili wa mwezi Januari.

Manchester United wana matumaini ya kupata kibali cha kufanya kazi kwa ajili ya winga wa Atalanta raia wa Ivory Coast Amad Diallo ili mchezaji huyo, 18 aweze kujiunga na klabu hiyo wakati wa dirisha la usajili mwezi Januari.

Tetesi zinasema Manchester United wanaweza kumchukua kocha wa Paris St-Germain Thomas Tuchel iwapo watamtimua Solskjaer wiki chache zijazo.

Tetesi zinasema Manchester City wanajiandaa kumaliza mchakato wa kumsajili kiungo wa kati Diego Rosa, 18 anayekipiga Gremio.

Tetesi zinasema West Ham wako tayari kumpa mkataba wa muda mrefu kocha David Moyes.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema Napoli wanafikiria kufanya uhamisho wa mkopo Januari kwa kiungo wa chini ya miaka 21 wa Scotland, Billy Gilmour, 19.

Tetesi zinasema Arsenal wamerejesha shauku yao kwa kiungo wa kati wa Istanbul Basaksehir Berkay Ozcan, 22.

Mustakabali wa mchezaji wa Arsenal William Saliba bado haujulikani wakati ambapo klabu na mchezaji bado wakiwa hawajakubaliana ni wapi kiungo huyo wa kati ataelekea kwa mkopo.

Mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa England na klabu ya Tottenham Eric Dier, 26, amekiri kuwa alikuwa tayari kuondoka kwenye klabu hiyo kabla ya kuhamia kwenye safu ya ulinzi.

Wachezaji wa Arsenal walirushiana maneno ya ghadhabu baada ya kocha Mikel Arteta kukiita kikosi pamoja ili kubaini sababu za kuanza msimu vibaya.


FURAHIA MUZIKI MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Mchezo wa Astro Legend unakupatia burudani ya muziki kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

INGIA MCHEZONI

23 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa