Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Manchester United ina hamu ya kumsajili mchezaji anayelengwa na Arsenal pamoja na Liverpool Yves Bissouma, mchezaji wa klabu ya Brighton na raia wa Malian mwenye umri wa miaka 24 ambaye ameonesha mchezo mzuri msimu huu.

Tetesi zinasema Marseille ingependelea kumsajili mshambuliaji wa Chelsea na Ufraansa Olivier Giroud, 34.

Tetesi zinasema Liverpool inafikiria kumuuza mshambuliaji wa Misri asiye na raha Mohamed Salah, 28, kulingana na mshambuliaji wa zamani wa Misri Mohamed Aboutrika.

 

Tetesi zinasema Real Madrid ina matumaini ya kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, 22, kutoka klabu ya Paris St-Germain msimu ujao.

Mwenyekiti wa klabu ya Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amekubali kwamba beki David Alaba, 28, anatarajiwa kuondoka katika klabu hiyo ya Ujerumani.

Kandarasi ya raia huyo wa Austria inakamilika tarehe 30 mwezi Juni 2021 , na mchezaji huyo anaweza kuanza mazungumzo na klabu yoyote anayotoka kuanzia mwezi tarehe mosi mwezi Januari, huku klabu ya Real Madrid ikitarajiwa kumnyakua.

Kiungo wa kati wa zamnai Roy Keane anaamini Manchester United inaweza kuikabili Liverpool kuwania taji la ligi kuu na huenda wakaipatia Liverpool changamoto mdsimu huu.

Tetesi zinasema Slaven Bilic alijua kwamba atafutwa kazi na West Brom aliporudi katika mchezo dhidi ya Manchester City wiki iliopita.

 

Mkufunzi wa Juventus Andrea Pirlo amepinga uwezekano wa uhamisho wa nyota wa Argentina Paulo Dybala, 27.

Manchester City iko tayari kufikiria ofay a kumsajili bei wa Ukraine Oleksandr Zinchenko, 24, katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari.

Beki wa Ujerumani Antonio Rudiger, 27, amekiri hafurahii hali yake katika klabu ya Chelsea, lakini anasisitiza kwamba hatatafuta uhamisho mwezi Januari.

Winga wa Japan Takefusa Kubo, 19, huenda akakatiza uhamisho wake wa mkopo katika klabu ya mwezi Januari baada ya kukosana na kocha Unai Emery.


VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???

SOMA ZAIDI

12 Komentara

    Tetesi ziko vizuri kwa sababu Real madrid anataka kumsajili kylian mbappe

    Jibu

    Mhm! Liver angalien msije jutia

    Jibu

    Liverpool wamuache tu mohamed haendelee kuitumikia liverpool ni mchezaji mzuri sana katika klabu

    Jibu

    United fanyen kweli

    Jibu

    Bonge la dili kwa mbappe

    Jibu

    Bongera la diri hilo man U fanyeni mpango

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Zilikuwa poa

    Jibu

Acha ujumbe