Tetesi zinasema kiungo wa kati wa England Dele Alli, 24, huenda akaondoka Spurs wakati Pochettino atakapojiunga na klabu ya Ligue 1.
Pochettino pia anataka kumleta mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi, 33, Paris St-Germain endapo atachukua nafasi ya Tuchel.
Tetesi zinasema Chelsea wanachuana na Real Madrid, Bayern Munich, Manchester United na Manchester City katika kinyang’anyiro cha kumsaka mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 20.

Tetesi zinasema Juventus na AC Milan wameingi akatika kinyang’anyiro cha kumsaka mshabuliaji wa Celtic Mfaransa Odsonne Edouard, 22.
Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp amemwambia mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah sababu pekee ya kuondoka Ligi ya Primia ni hali ya hewa lakini amekubali kuwa klabu hiyo haiwezi kumlazimisha mchezaji kusalia nao bila hiari yake.

Tetesi zinasema Kiungo wa kati wa Arsenal Mjerumani Mesut Ozil, 32, amefanya mazungumzo ya siri na Fenerbahce katika juhudi za kutaka kuondoka Gunners.
Tetesi zinasema Ozil ana uhakika atarejeshwa katika kikosi cha kwanza cha Arsenal nusu ya pili ya msimu na hakuna uwezekano wa kuhamia Marekani.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini???




Hopemwaikuka
Haaland kawa kama pipi jamanii
Tatu
Chelsea awana maajabu
Shakila mrope
Du ni utopolo tu Chelsea
Lydia Emmanuel Magoti
Chelsea bado sana
Fatuma kasomo
Amna kitu hapo
Adelta
Chelsea wanatakiwa wajipange
Mwanahamisi
Chelsea wapo nyuma
Caroline
Asante kwa taarifa
Theonestina
Chelsea wanayumbaa
Sarah
Chelsea bado bado
Saupha mohamed
Cherlsea wanakwama wapi
Issa
Mess awez kwend psg
Rahmal
Sherlsea jambo awana
warda
Naona vichekesho Barca wanamtaka Neymar PSG wanamtaka Messi
Chiku
Cherlsea wanaenda kujiamini