Tetesi zinasema mchezaji wa Argentina Lionel Messi, 33, huenda akasalia Barcelona hadi 2023 kabla ya kujiunga na klabu ya David Beckham, Inter Miami. Messi amenunua nyumba yenye thamani ya £7.25m mjini maimi na kwamba anadaiwa kutaka watoto wake kujiunga na shule Marekani.
Manchester United imedhamiria kumsajili beki wa Norwich Max Aarons , 20 lakini watalazimika kusubiri hadi msimu ujao kwa mchezaji huyo wa England anayeichezea timu ya wachezaji wasiodi umri wa miaka 21 England.

Tetesi zinasema Wolves wamejiunga katika kinyanganyiro cha kumsaini kiungo wa Liverpool na Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30.
Emili Rousaud amesema kwamba atamsajili mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 20, katika uwanja wa Nou Camp iwapo atachaguliwa kuwa rais wa Barca.
Tetesi zinasema mchezaji anayelengwa na Arsenal Isco, amekiri kwamba angependa kuichezea klabu ya London Chelsea.
Tetesi zinasema Chelsea inataka kujiunga na Manchester United na Liverpool katika kinyanganyiro cha kumsaini winga wa Borussia Dortmund na England Jadon Sancho, 20.

Beki wa Manchester United na Uholanzi Timothy Fosu-Mensah, 22, amekataa kandarasi mpya ya miaka mitatu na nusu.
Tetesi zinasema Marseille na Hertha Berlin zimejiandaa kulipa dau la chini la uhamisho ili kumsajili Fosu-Mensah mwezi ujao.
Tetesi zinasema Borussia Dortmund inataka kumsajili kinda wa Manchester City na Uholanzi Jayden Braaf, ambaye huenda akaruhusiwa kuondoka mwezi ujao.
VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!
Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?




Adelta
Tetesi zinasomeka kwa sababu manchester united anataka kumsajili beki wa norwich
Shakila mrope
Asant kwa taarifa
Fatina mfingi
Messi kaanza Mambo yake
Ernest Kimeru
Messi kusalia Barcelona ni ngumu sana kwa wakati huu
Neema juma
Tetesi ziko poaa
Caroline
Asante kwa taarifa
warda
Anataka amalizie Maisha yake huko ipo siku atacheza timu moja na CR7
Dorophina
Messi abakie tu barca amalizie mpira wake hapo
Angelina
Goodupdate
Tatu
Mess Barcelona ndio panamfaa
Rahmal
Messi mbona ivyo sasa
Janeflora malisa
Ipo powa
Sarah
Asante kwa taarifa
Sania
Good news
Hopemwaikuka
Gud
Magdalena
Safi
Issa
Sancho anatikisa vichwa vya manguli