Tetesi zinasema Mwenyekiti wa Tottenham Daniel Levy anataka kusubiri hadi mwisho wa msimu kabla ya kuamua hatma ya Jose Mourinho kama kocha wa timu hiyo.

Tetesi zinasema Mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, 32, amekubali kwamba hajui ikiwa msimu huu utakuwa wake wa mwisho Manchester City.

Mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi, 33, bado hajaamua ikiwa ataendelea kucheza msimu ujao na wawakilishi wake bado hawajafanya mazungumzo na klabu yoyote ile.

 

PSG Wanacheza na Akili ya Messi?

Kocha Ole Gunnar Solskjaer amethibitisha kuwa atafanya mazungumzo na mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani, 34, juu ya kuongeza mkataba wake Manchester United.

Tetesi zinasema kocha wa Chelsea Thomas Tuchel anataka winga wa USA Christian Pulisic, 22, asalie Stamford Bridge, lakini amesema hakuna maamuzi yoyote yaliyofikiwa.

Tuchel amesisitiza kwamba ni mapema mno kufanya maamuzi juu ya Olivier Giroud licha ya kwamba mshambuliaji huyo, 34, wa Ufaransa anaingia miezi ya mwisho ya mkataba wake na Chelsea.

Tetesi zinasema mlinda lango wa Chelsea rais wa Uhispania Kepa Arrizabalaga, 26, anadai hakutaka kuondoka klabu hiyo na haogopi kupigania kupata tena nafasi yake.

Borussia Dortmund ingependelea kumuuza mshambuliaji wa England Jadon Sancho, 20, na kuendelea kuwa na mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 20, msimu huu.

Mlinda lango wa AC Milan wa Italia Gianluigi Donnarumma, 21, anataka kuwa mlinda lango anayelipwa zaidi duniani. Mkataba wake wa sasa unakamilika mwisho wa msimu na PSG na Chelsea zimeonesha nia ya kutaka kumsajili.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema kocha wa Aston Villa Dean Smith ametupilia mbali uvumi unaomuhusisha mlinzi Ezri Konsa, 23, na Liverpool na Tottenham.

Mchezaji mkongwe wa Arsenal Thierry Henry anakaribia kuwa kocha mpya wa Bournemouth baada ya klabu hiyo kuomba klabu yake ya hivi sasa Montreal Impact kuanza kufanya mazungumzo.

Mshambuliaji wa Poland Arkadiusz Milik, 26, ana kifungu katika mkataba wake kinachohitaji euro milioni 12 (£10.3m) ndio aweze kuondoka ikiwemo makataba wake wa Marseille.


WEWE NI SHUJAA? MASHUJAA WANASHINDA HAPA!

Treasure Heroes inakupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

Kasino ya Mtandaoni

INGIA MCHEZONI

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa