Tetesi zinasema mustakabali wa mshambuliaji wa Argentina Paulo Dybala kuendelea kuwachezea mabingwa wa ligi ya Serie A, Juventus haujulikani na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 anaweza kuuzwa msimu huu.

Livepool, Manchester United na Tottenham ni miongoni mwa vilabu vinavyomfuatilia Dybala.

Tetesi zinasema Tottenham na Borussia Dortmund wanaongoza katika mbio za kumsajili mlinda mlango wa Manchester United Dean Henderson, 23.

 

Erling Haaland

Tetesi zinasema Chelsea inaamini kwamba itamsajili mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland, 20,kutoka Borussia Dortmund majira ya joto.

Mmiliki wa The Blues Roman Abramovich atampa kocha wa Chelsea Thomas Tuchel kiasi cha pauni milioni 260 kutumia wakati wa dirisha lijalo la usajili, bila kujalli kama klabu itafuzu kwa ligi ya mabingwa.

Tetesi zinasema West Ham itasikiliza ofa iliozidi pauni milioni 100 ili kumuachia kiungo wa kati wa England Declan Rice, 22.

Manchester united inaweza kupatiwa nafasi ya kumsajili mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt, Mreno Andre Silva,25, wakati wa dirisha la usajili msimu wa joto.

Tetesi zinasema United wataanza mikakati ya kumnunua Silva ikiwa wataamua kutoongeza mkataba wa mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani,34.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Klabu hiyo ya Ole Gunnar Solskjaer pia ilimfuatilia mlinzi wa Monaco, Mfaransa Benoit Badiashile,19, msimu wa joto uliopita.

Beki wa kati wa Fiorentina, Mserbia Nikola Milenkovic,23, ni pendekezo namba moja anayelengwa na Borussia Dortmund na Manchester United.

Tetesi zinasema Arsenal itasikiliza ofa kwa ajili ya kiungo wa kati Reiss Nelson, 21, mwishoni mwa msimu.


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa