Tetesi zinasema Liverpool hawajui masharti yoyote ya awali kabla ya mkataba wa mapema kwa kiungo wa kati wa Barcelona na raia wa Uholanzi Georginio Wijnaldum, 30.
Meneja Mikel Arteta amesema raia wa Norway Martin Odegaard ndiye kiongozi wa timu ya Arsenal na amedokeza mkataba wa kudumu wa kiungo huyo wa kati wa Real Madrid mwenye umri wa miaka 22.
Tetesi zinasema Crystal Palace wana nia ya kumsajili nyota wa Juventus mwenye umri wamiaka 19 na raia wa Romania Radu Dragusin.
Tetesi zinasema Juventus iko tayari kuipa Everton mchezaji pamoja na fedha katika makubaliano ya kuipata sahihi ya raia wa Italia Moise Kean, 21, kurejea katika klabu hiyo.
Tetesi zinasema mlinda lango wa Udinese, raia wa Argentina Juan Musso, 26, anatarajiwa kukataa ofa kutoka Inter na AC Milan kujiunga na Roma.
Tetesi zinasema klabu ya Ubelgiji Mechelen inataka kumsaini Wing’a wa Celtic aliye katika uhamisho wa mkopo Marjan Shved, 23, kwa mkataba wa kudumu.
Afisa mkuu wa Bayern Munich Karl-Heinz Rummenigge amefutilia mbali uwezekano wa Hansi Flick kuichukua nafasi ya Joachim Low kama Kocha wa Ujerumani.
Kocha msaidizi wa Sheffield United Alan Knill amepewa ofa ya kusalia klabuni humo baada ya kuondoka kwa Chris Wilder.
Ni Wiki ya Mkwanja Ndani ya Kasino za Meridianbet, Unawezaje Kukosa Mchezo wa Attack On Retro.
Huitaji kuumiza kichwa wakati wa kutengeneza mkwanja katika kasino za mabigwa za #meridianbettz, Zungusha kasino ya #AttackOnRetro na uibuke mshindi punde baada ya mchezo kukamilika.
Angelina
Nice update
Caroline
Asante kwa taarifa
Hopemwaikuka
Zko njema
Dorophina
Nice update
Sarah
Ziko poa
Venerose
Tetesi zinaeleweka
Lydia Emmanuel Magoti
Ziko poa
warda
Tetesi ziko poa