Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Manchester United wanataka kumsaini winga wa Ufaransa na Bayern Munich Kingsley Coman, 24.

Napoli wamekubali kulipa klabu ya Ufaransa ya Lille ada ya awali ya uero milioni 60 (£54.6m) kumpata mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen, 21.

Barcelona wanajitahidi kumshawishi Ansu Fati, 17, asiondoke kwa kumpatia mkataba mpya ili kukatiza tamaa ya Manchester United kumsaka kiungo huyo wa kimataifa wa Hispania.

Tetesi zinasema Everton na Leeds United wanamfuatilia kwa makini kipa wa Manchester United na Argentina Sergio Romero, 33, ambaye hajaridhishwa na nafasi yake ya sasa kama kipa wa ziada Old Trafford.

Watford wanatarajiwa kuongeza za kumuajiri kocha mpya baada ya hatma ya ligi ya Premia kuamuliwa huku Claude Puel, Marcelino, Zlatko Dalic na kocha wa Nottingham Forest, Sabri Lamouchi wakipigiwa upatu kuchukua nafasi hiyo.

Tetesi zinasema Nahodha wa zamani wa Tottenham Ledley King anajadiliana na klabu hiyo kuhusu uwezekano wa yeye kujumuishwa katika kikosi Jose Mourinho kama kocha.

West Ham wameongeza juhudi za kumsaka mshambuliaji wa Brentford na Algeria Said Benrahma, 24.

Roma wamechapisha picha ya mchezaji wao wa mkopo Chris Smalling, 30, katika jezi yao ya msimu ujao na wanaamini watafanikiwa kumsajili kwa mkataba wa kudumu beki huyo wa Manchester United na England.

Manchester United pia wameomba Lille kuwafahamisha kuhusu ofa zilizo wasilishwa kutaka kumnunua mchezaji wa Brazil Gabriel Magalhaes, 22, ambaye anauliziwa na Everton, Inter Milan na Napoli.

Real Madrid wanapania kukusanya jumla ya euro milioni 180 (£163m) msimu huu wa joto kwa kuwauza wachezaji wao- miongoni mwao – mshambuliaji wa kimataifa wa Wale Gareth Bale, 31, kiungo wa kati wa Colombia James Rodriguez, 29, na mshabuliaji wa Serbia Luka Jovic, 22.

Bale Ashinikiza Kusepa Real Madrid

Beki wa zamani wa Liverpool Jamie Carragher amesema Chelsea watashinda ligi ya Premia endapo watamnunua kipa wa Atletico Madrid na Slovenia Jan Oblak, 27, msimi huu.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

43 Komentara

    Msimu huu wa kuuzwa wachezaji kwa bale imekuwa kama hana bahati sana kwa Mara nyingine anawekwa sokoni inavyoonekana real Madrid hawamtaki kikosini hapo ingewezekana wakala wake amtafutie mahali pengine akaendeleze kipaji chake cha soka.#meridianbettz

    Jibu

    Hitakua vizuri kama Barcelona watamzuhia ansu fati asiondoke clabuni hapo

    Jibu

    Habari njema izo

    Jibu

    Habari nzuri za michezo na meridianbet imekaa poa sana hii

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Habari njema man u wakimsajili coman itakuwa poa sana

    Jibu

    safi sana asanteni sana meridianbet kwa kutuhabarisha

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    United watakuwa wamefanya vyema wakimsajili uyu kiungo

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Barcelona awawezi kumtoa mchezaji wao wanaomtegemea

    Jibu

    Habari njema hizo

    Jibu

    sidhani Kama Barcelona watamruhusu ansu kuondoka

    Jibu

    Kesho msimu wa usajiri unaanza kesho na kuna timu zinahitaji kuimarisha vikosi vyao. Asu abaki tu Barcelona kujenga uwezo wake #meridianbettz

    Jibu

    Makala nzur

    Jibu

    Chelsea ni back na kipa tu msimu ujao watasumbua sana la sivyo watakuwa wanafungika vizuri tu

    Jibu

    Safii hii

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    asante kwa makala

    Jibu

    Hiyo Ni habari njema

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safi kwa united

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    Ukweli umewekwa wzi sana na Club ya Madrid-Nadhani Bale na James Rodriguez watapata timu nzuri na kupata nafasi ya kucheza

    Jibu

    Imeeleweka

    Jibu

    good news

    Jibu

    gud news

    Jibu

    Gud update

    Jibu

    Habari njema Sana kwa mashabiki wa man United

    Jibu

    Gud news

    Jibu

    New updates.

    Jibu

    Makala mzuri

    Jibu

    Nic update

    Jibu

    Itakuwa ni Jambo jema Kama man u wakifanikiwa kumsajili

    Jibu

    Usajili upo Moto sanaa maana kila siku Mambo yanzidi kuwa maziri

    Jibu

    Habar njema hizo usajili umepamba moto ila ngoja tuone dirisha linafunguliwa kesho

    Jibu

    Habari njema#Meridianbettz

    Jibu

    Habari nzuri

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Hii iko vizuri

    Jibu

    safi sana

    Jibu

    Mambo mazuri jamani kwa Usajili huu#Meridianbettz

    Jibu

    Nice

    Jibu

Acha ujumbe