Tetesi zinasema, Juventus wanamtaka Hector Bellerin na huenda wakamuachilia tena kiungo wa kati wa Wales wa miaka 30 Aaron Ramsey katika mkataba wa kubadilishana wachezaji na Gunners.

Tetesi zinasema, Kocha wa zamani wa Wolves Nuno Espirito Santo anakaribia kuteuliwa kuwa meneja wa Crystal Palace.

Liverpool wametangaza dau la pauni milioni 25.8 kumnunua nahodha wa Roma na kiungo wa kati wa Italia Lorenzo Pellegrini, 24, kuchukua nafasi ya mchezaji wa kimataifa wa Uholanzi Georginio Wijnaldum,30.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Atletico Madrid wamemtoa kiungo wa kati wa Uhispania Saul Niguez, 26, kwa Manchester City ili wampate mshambuliaji wa Ureno Bernardo Silva, 26.

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 20, anapania kujiunga na Chelsea na yuko tayari kusubiri kwa mwaka mmoja kuhamia Stamford Bridge.

Mshambulizi wa Liverpool na Japan Takumi Minamino amehusishwa na tetesi za kurejea Southampton ambako alikuwa kwa mkopo msimu uliopita baada ya kocha wa Saints Ralph Hasenhuttl kuulizia mpango wa kiungo huyo wa miaka 26.

Tetesi zinasema Mhispania Dani Ceballos, 24, amesema anataka kurejea La Liga msimu ujao baada ya mkataba wake wa mkopo Arsenal kutoka Real Madrid kumalizika.

Tetesi zinasema Bayern Munich wamefufua mkakati wa kumsaka winga wa Chelsea na England Callum Hudson-Odoi,20, mabingwa hao wa Champions League wako tayari kupokea ofa ya kumuuza.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Mkufunzi wa Brighton Graham Potter bado anagombea kuwa kocha mpya wa Everton baada ya Carlo Ancelotti kuondoka.

AC Milan wamefahamishwa kwamba kumsajili kiungo wa kati wa Uhispania Brahim Diaz,21, kwa mkataba wa kudumu kutoka Real Madrid kutawagharimu euro milioni 26m, lakini klabu hiyo ya La Liga iko tayari kumtoa tena kwa mkopo nyota huyo.

Tetesi zinasema, Roy Hodgson amekataa ombi la West Brom la kumtaka awe kocha wao mpya.


WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa