Tetesi zinasema, Romelu Lukaku ametua London jana jionu kwaajili ya kukamilisha uhamisho wa pauni milioni 97.5 kutoka Inter Milan kwenda Chelsea.
Arsenal iko kwenye mazungumzo ya hali ya juu na Sheffield United kumsajili kipa wa England mwenye umri wa miaka 23 Aaron Ramsdale, na The Gunners wakilazimika kulipa ada ya mwanzo ya £ 24m ambayo inaweza kuongezeka hadi £ 30m na nyongeza.
Manchester United itatangaza kutia kumsaini beki wa kati wa Ufaransa Raphael Varane kutoka Real Madrid siku ya Alhamisi baada ya mchezaji huyo wa miaka 28 kumaliza vipimo vya matibabu Jumatano.
Tetesi zinasema, Chelsea wamekubali dau la pauni milioni 34 kutoka Roma kwa mshambuliaji wa England Tammy Abraham, 23, ambayo ni pamoja na kifungu cha kumnunua tena.
Tetesi zinasema, Sevilla wako tayari kumuuuza mchezaji anaewaniwa na Chelsea Jules Kounde, hata hivyo Blues hawataki kufikia ada ya uhamisho ambayo imetajwa huku wakitaka kumjumuisha Zouma katika ofa hiyo.
Barcelona bado wanadaiwa na mshambuliaji wao wa zamani wa Argentina Lionel Messi € 39m (£ 33m) kama sehemu ya bonasi iliyojumuishwa katika mkataba wa mwisho wa mchezaji huyo wa Paris St-Germain mwenye umri wa miaka 34.
Tetesi zinasema, Southampton wamekubali dau la pauni milioni 15 kutoka kwa Leicester City kwa mlinzi wa Denmark Jannik Vestergaard, 29.
Tetesi zinasema, Tottenham Hotspur na Aston Villa wote wanaandaa ofa kwa kiungo wa Southampton mwenye umri wa miaka 26 wa England James Ward-Prowse.
Tetesi zinasema, Lyon wanafanya mazungumzo na Liverpool juu ya makubaliano ya kumsajili kiungo wa Reds mwenye umri wa miaka 29 Xherdan Shaqiri.
Tetesi zinasema, Inter Milan wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Everton mwenye umri wa miaka 21 wa Italia, Moise Kean, ambaye alicheza msimu uliopita kwa mkopo huko PSG.
Lazio wanakaribia kuafikia mkataba wa mkopo kwa kiungo wa Arsenal Uruguay, Lucas Torreira, 25, na chaguo la kufanya uhamisho huo kuwa kudumu mwishoni mwa msimu.
Newcastle United na Joe Willock bado hawajakubaliana masharti ya kibinafsi, baada ya Magpies kukubali ada ya pauni milioni 25 na Arsenal kwa kiungo huyo wa Uingereza mwenye umri wa miaka 21.
Tottenham wamepania kuongeza jaribio lao la kumsajili Joao Palhinha wa Sporting Lisbon, na meneja Nuno Espirito Santo amekuwa akimtamani mchezaji huyo kwa muda mrefu.
Newcastle wamefungua mazungumzo na Roma juu ya makubaliano ya kumsajili winga wa Uhispania Carles Perez mwenye umri wa miaka 23 na chaguo la kumnunua.
Unaanzaje siku yako bila kuwa na pesa, Meridianbet kupitia kasino zake za mtandaoni inakupa sababu ya kufanya siku yako kuwa njema. Mchezo maarufu wa Tiki Reward unaweza kukufanya milionea. Cheza sasa kibingwa!
Sarah
Ziko poa tetesi