Tetesi zinasema, Mlinzi wa Ivory coast Serge Aurier, 28, ambaye sasa ni mchezaji huru baada ya kuondoka Tottenham Hotspurs, anajiandaa kujiunga na Villarreal ya Uhispania.
Claudio Ranieri amekubali kuwa kocha mkuu mpya wa Watford baada ya kuondoka kwa Xisco Munoz siku ya Jumapili, huku Muitaliano huyo, 69 akitarajiwa kuweka saini Jumatatu.
Tetesi zinasema, Manchester City wanamfuatilia kiungo wa kati wa Uhispania Nico Gonzalez anayekipiga Barcelona, ambaye hajapewa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza.
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na Manchester United Alexis Sanchez hajui mustakabali wake Inter Milan baada ya mchezaji huyo mwenye miaka 32-kuchapisha kisha kufuta ujumbe uliokuwa ukikosoa kitendo cha kukosa muda wa kucheza uwanjani.
Tetesi zinasema, Atletico Madrid nayo imeingia kwenye kinyang’anyiro cha kumnasa mshambuliaji Timo Werner, 25 anayekipiga Chelsea.
Kiungo wa kati wa zamani wa Manchester City Yaya Toure, 38, ametoa ofa kwa Barcelona wakati huu wakiwa katika changamoto, lakini haijulikani kama raia huyo wa Ivory coast anataka kucheza au kufundisha.
Tetesi zinasema, Mike Ashley anajua njia pekee ya kumbadili kocha mkuu wa Newcastle ni kulipa karibu kila kandarasi ya Steve Bruce ambayo alikubali mnamo Julai 2019.
Mshambuliaji wa Kiholanzi anayecheza Bayern Munich Joshua Zirkzee, 20, anasema alikataa nafasi ya kujiunga na Everton mwaka 2017.
Muda wa mawindo, tunaingia kuwinda mkwanja mrefu na kasino bora kabisa ya Wild Catch ndani ya kasino bomba za meridianbet. Tuna enjoy huku tunapiga pesa kibingwa.
Sarah
Ziko bomba tetesi