Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Newcastle United imeonyesha nia ya kumtaka kiungo wa Uingereza, Jesse Lingard katika dirisha dogo la Januari, mchezaji huyo mwenye miaka 28 kandarasi yake inataraji kuisha katika kipindi cha kiangazi.

Tetesi, Mkurugenzi wa zamani wa michezo wa Chelsea Michael Emenalo ameitupilia mbali ofa ya kuwa mkurugenzi wa mpira ndani ya Newcastle.

 

Mourinho Ataendelea Kulipwa £10m na Spurs

Everton wanamtaka kocha wa zamani wa Chelsea na Manchester United Jose Mourinho ambaye kwasasa anainoa Roma, maamuzi hayo yatafanyika mpaka waanze mchakato wa kumuondoa kocha wa sasa Rafael Benitez.

Kiongozi mkuu wa Borussia Dortmund, Michael Zorc amemruhusu nyota wa Norway straika Erling Braut Haaland 21, tetesi zinasema kuwa teyari £75m zimewekwa mezani, na mchezaji yupo mbioni kuondoka klabuni hapo.

Barcelona imeonesha nia ya kumpatia ofa nono winga Ousmane Dembele 24, beki wa Ufaransa Samuel Umtiti 28, M’Brazil Philippe Coutinho, 29, kiungo mkabaji Mfaransa Clement Lenglet, 26 , Mhispania Ferran Torres, 21, kutoka Manchester City.

Klabu ya nchini Italia, Juventus nayo imeanza mchakato wa kuitaka saini ya nyota wa Barcelona, Dembele, lakini pia Paris St-Germain imeonesha utayari wa kumchukua mchezaji huyo.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema, Arsenal na Totttenham wameonesha utayari wao wa kutaka kumsajili kwa mkopo kiungo wa Juventus na sweden, Dejan Kulusevski, 21.

Tetesi zinasema, Leeds United wamekubali dili la Espanyol kwaajili ya kumsajili mshambuliaji wa klabu hiyo, Mateo Joseph Fernandez.


MUDA WA KUJIACHIA NA CARNAVAL JACKPOT

Mabingwa Meridianbet hawajawahi kukuacha mnyonge hasa katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu, kasino maridhawa ya Carnaval Jackpot inakupa thamani ya dau lako. Kuwa mmoja wa washindi leo hii.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe