Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Manchester United wana nia ya kutaka kumnunua mlinzi wa Chelsea na Ujerumani Antonio Rudiger, 28, na wana matumaini kwamba Ralf Rangnick anaweza kuwasaidia kuishinda Real Madrid, Paris St-Germain na Bayern Munich kwenye usajili wake.

Mchezaji anayefuatiliwa na Manchester United, Frenkie de Jong, 24, angekataa fursa ya kuhamia Old Trafford kutoka Barcelona Januari kwa sababu ya hali ya hewa ya Uingereza, kulingana na baba wa kiungo huyo wa Uholanzi.

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund na Norway Erling Braut Haaland, 21, ameonya Barcelona kwamba hatafikiria kuhamia Nou Camp isipokuwa tu klabu hiyo itakapocheza Ligi ya Mabingwa mwaka ujao.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Tetesi zinasema, Kocha wa Roma Jose Mourinho anakaribia kuishawishi klabu yake ya zamani Chelsea na ofa ya kiungo wa kati wa Uingereza Ruben Loftus-Cheek, 25.

Tetesi zinasema, Arsenal wanavutiwa na kiungo wa kati wa Juventus na Brazil Arthur Melo, 25, pamoja na winga wa Sweden mwenye umri wa miaka 21 Dejan Kulusevski.

Tetesi zinasema, Everton wana nia ya kumsajili beki wa kushoto wa Dynamo Kiev wa Ukraine Vitaliy Mykolenko, 25, kwa £20m.

Tetesi zinasema, Everton ni miongoni mwa vilabu kadhaa vya Ligi ya Primia vinavyomuwinda mlinzi wa kulia wa Metz Mfaransa Fabien Centonze, 25.

 

Klabu 5 Zinazowinda Saini ya Pierre-Emerick Aubameyang

Kiungo wa zamani wa Arsenal Emmanuel Frimpong ameitaka klabu hiyo kumuuza Pierre-Emerick Aubameyang baada ya mshambuliaji huyo wa Gabon, 32, kuvuliwa unahodha.

Mkurugenzi wa michezo wa Monaco Paul Mitchell amezionya Manchester United na Chelsea kwamba kiungo wa kati wa Ufaransa Aurelien Tchouameni mwenye umri wa miaka 21 hatakuwa bei nafuu.

Newcastle United imekuwa ikifuatilia kwa makini talanta katika michuano ya mabingwa, huku mshambuliaji wa Luton mwenye umri wa miaka 23 Muingereza Elijah Adebayo akilengwa.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.