Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Manchester United na England Marcus Rashford, mwenye umri wa miaka 24, yuko tayari kusajiliwa na Barcelona.

Mshambuliaji wa Manchester United na Ufaransa Anthony Martial, 26, anataka kuondoka Old Trafford haraka iwezekanavyo, anasema wakala wake.

 

Martial Aomba Kuondoka Manchester United.

Tetesi zinasema Liverpool wanataka kiasi cha pauni milioni 15 kuweza kumuuza beki wao chipukizi Nat Phillips kutokana na kukosa nafasi katika kokosi cha kwanza.

Tetesi zinasema, Wamiliki wa klabu ya Newcastle United wameshauriwa kumsajili Martial ili kuboresha kikosi cha mashambulizi katika klabu hiyo.

Mshambuliaji wa Manchester City na Uhispania Ferran Torres, 21, ni mchezaji anayelengwa na meneja wa Barcelona, Xavi wakati kitakapofika kipindi cha uhamisho wa wachezaji mwezi.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Chelsea, Barcelona, Bayern Munich na Ajax zote zimewatuma mawakala wake katika klabu ya FC Copenhagen kumwinda kiungo wa Sweden, Roony Bardghji mwenye umri wa miaka 16.

Meneja wa Arsenal Mikel Arteta anamtaka kiungo wa kati wa Juventus na Brazil Arthur Melo, mwenye, 25 katka kikosi chake cha Gunners pindi itakapofika mwezi Januari.

Tetesi zinasema, Chelsea wanamtaka beki wa AC Milan na Ufaransa Theo Hernandez, 24, kwa ajili ya kuchukua nafasi ya mlinzi wa England Ben Chilwell.


ANZA MSIMU WA SIKUKUU NA BURST THE BANK

Fanya wiki yako iwe ya ushindi mkubwa ndani ya kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo wa BURST THE BANK🔥🤑 ni moja kati ya mchezo pendwa unaowapa wachezaji mamilioni kila siku. Kwa dau dogo unashinda zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.