Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Real Madrid wanamfuatilia kwa karibu beki wa kulia wa England na Liverpool Joe Gomez, 24.

Tetesi zinasema, Manchester United, Barcelona na Real Madrid zote zinafuatilia kwa karibu winga wa Bayern Munich na Ufaransa Kingsley Coman, 25.

Liverpool wameingia kwenye vita ya kuwania saini ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund mwenye umri wa miaka 21 Mnorway Erling Braut Haaland.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Everton imekubali kulipa pauni milioni 17, kwa ajili ya beki wa kushoto wa Dynamo Kiev na Ukraine Vitaliy Mykolenko, 22, ili kuchukua nafasi ya Lucas Digne, 28, anayewania wana Newcastle.

Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Manchester United na Ufaransa Anthony Martial, 26, anataka kujiunga na Sevilla kwa mkopo.

Nahodha wa Chelsea, Cesar Azpilicueta, 32, anataka kubaki katika klabu hiyo licha ya Barcelona kuonyesha nia ya kusaini mkataba na mlinzi huyo Muhispania wakati mkataba wake utakapomalizika msimu huu.

 

Tetesi zinasema, Tottenham Hotspur na Roma wanawania saini ya kiungo wa kati wa Hoffenheim na Ujerumani Florian Grillitsch, 26.

Chelsea ilikuwa na dau la pauni milioni 72 kwa ajili ya mlinzi wa Paris St-Germain Marquinhos, 27, ambalo lilikataliwa msimu huu. Marquinhos atasaini mkataba mpya na klabu hiyo hadi mwaka 2026 au 2027.

Tetesi zinasema, Everton watafanya jaribio la tatu kusaini mkataba na beki wa kulia wa Rangers na Uskochi Nathan Patterson, 20.


KUWA BINGWA MSIMU HUU WA SIKUKUU NA OCEAN CALL

Nani hapendi kuwa bingwa na kujishindia mkwanja wa kusahato kuelekea katika sikukuu wiki hii. Mchezo wa Ocean Call kutoka kasino maridhawa za meridianbettz unakupa kila sababu ya kuifanya siku kuu yako kuwa ya kuvutia zaidi.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe