Tetesi za Soka Barani Ulaya.

 

Tetesi zinasema, Mshambulizi wa Ufaransa Kylian Mbappe anasema hatahamia Real Madrid mwezi Januari na atasalia Paris St-Germain hadi angalau mwisho wa msimu. Mkataba wa mchezaji huyo unamalizika msimu wa joto.

Winga wa Leeds United Raphinha amekuwa akihusishwa na Liverpool na Bayern Munich, lakini mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazil mwenye umri wa miaka 25 hatashinikiza kuhama mwezi Januari.

 

Tetesi zinasema, Barcelona haijakata tamaa katika kujaribu kumsajili mlinzi wa Uhispania Cesar Azpilicueta, 32, na beki wa kati wa Denmark Andreas Christensen, 25, kutoka Chelsea.

Everton wamejadili uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Uingereza mwenye umri wa miaka 28 na mchezaji wa zamani Ross Barkley kwa mkopo kutoka Chelsea wakati wa dirisha la uhamisho la Januari.

Tetesi zinasema, Chelsea wanafikiria kujaribu kumsajili beki wa kushoto wa Everton Lucas Digne, 28, Baada ya kuthibitisha itamkosa beki wa Uingereza Ben Chilwell, 25, kwa kipindi kirefu.

Tetesi zinasema, Newcastle United wanapanga kumnunua beki wa kati wa Ufaransa Samuel Umtiti, 28 Barcelona wanatamani kumuuza mchezaji.

 

Newcastle pia wana nia ya kumleta mshambuliaji wa Brazil Gabriel Barbosa mwezi Januari, lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 angependelea kusalia na Flamengo.

Mshambuliaji wa Italia Lorenzo Insigne, ambaye kandarasi yake na Napoli inakamilika msimu wa joto, anashawishiwa na ofa kutoka kwa Toronto FC, na timu hiyo ya Ligi Kuu ya Soka inashinikiza kumsajili mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 mwezi Januari.

Middlesbrough wanakaribia kumsajili mshambuliaji wa Jamhuri ya Ireland Aaron Connolly, 21, kwa mkopo kutoka Brighton.


KUWA MILIONEA MSIMU WA SIKUKUU NA SAHARA RICHIES

Unaanzaje siku yako katika msimu huu wa sikukuu, mchongo upo meridianbet kasino. Sloti pendwa ya Sahara Richies inaweza kukufanya ukawa milionea katika kufunga mwaka huu, Jiunge na ufurahie kasino maridhawa kutoka nyumba ya mabingwa.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe