Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Arsenal wanakaribia kukamilisha mchakato wa uhamisho wa Gabriel Magalhaes. Gunners wametoa ofa ya mkataba wa miaka mitano, kumpata beki huyo aliye na umri wa mika 22 raia wa Brazil.

Tetesi zinasema Napoli wakimkosa Gabriel, huenda wakamnunua beki Arsenal Mjerumani Shkodran Mustafi.

Tetesi zinaarifu Manchester United pia wako mbioni kumsaka Gabriel, lakini lazima waongeze ofa yao kumpata.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Manchester United wametoa ofa ya £27m kumnunua winga wa Juventus na Brazil Douglas Costa, 29, lakini klabu hiyo ya Serie A inataka kulipwa £9m zaidi.

Chelsea wanakaribia kumpata winga wa Ujerumani Kai Havertz ,21, baada ya kufanya mazungumzo zaidi na Bayer Leverkusen kuhusu bei yake.

West Ham wanajaribu kumuuza kiungo wa kati wa England Jack Wilshere, 28, na wako tayari kulipa mwaka mmoja uliosalia katika mkataba wake ama kupunguza ada ya kumwezesha kuhamia klabu nyingine.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Chelsea wameongeza juhudi za kumsaka nahodha wa Paris St-Germain Thiago Silva, huku beki huyo wa mwenye umri wa miaka 35- wa Brazil akiwa tayari kucheza Jumapili katika finali ya Champions League dhidi ya Bayern Munich siku ya Jumapili.

Tetesi zinasema Kipa wa Lille Mike Maignan, 25, ananyatiwa na Chelsea.

Tetesi zinasema Manchester City wameafikiana na Napoli kuhusu usajili wa beki wa Senegal Kalidou Koulibaly, 29.

 

Wachezaji wenza wa Jadon Sancho katika klabu ya Borussia Dortmund wana imani nyota huyo wa England mwenye umri wa miaka 20 ambaye amehusishwa na uhamisho wa kwenda Manchester United atasalia katika klabu hiyo ya Bundesliga kwa mwaka mwingine mmoja baada ya kushiriki mazoezi ya kabla ya kuanza kwa msimu.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Paris St-Germain inamnyatia beki wa Manchester United na Ureno Diogo Dalot, 21.

Liverpool inafikiria kumsajili kiungo wa kati wa Bayern Munich Thiago Alcantara huku mchezaji huyo wa Uhispania, 29, akipatikana kwa pauni milioni 30.

Kocha mpya wa Barcelona Ronald Koeman anataka kumleta kiungo wa kati wa Liverpool na Uholanzi Georginio Wijnaldum, 29, Nou Camp.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

32 Komentara

    Usajili Wa Chelsea msimu huu wanaongoza kusajili wachezaji wenye uwezo Wa juu sana

    Jibu

    Chelsea msimu huu wanafanya usajili wa wachezaji wenye uwezo mzuri uwanjan naona wanataka kikosi bora zaid#Meridianbettz

    Jibu

    Arsenal wafanye mchakato ili waweze kumchukuwa huyo beki@meridianbettz

    Jibu

    Msimu huu wanafanya usajili wa wachezaji wenye uwezo#meridianbett

    Jibu

    Arsenal wafanye araka wamsajili Gabriel Mambo yaende sawa maana Gabriel yupo vizuri sana

    Jibu

    Bado klabu nyingi zinasuasua kwenye usajiri,tetesi zimekuwa nyingi kuliko matendo#meridianbettz

    Jibu

    Arsenal washafanya yao kwa Gabriel Magalhaes

    Jibu

    Arsenal wafanye uchaguzi mzuri sasa

    Jibu

    Arsenal kama wataikosa sain ya Gabriel si mbaya wakimchukua mustafi yupo vizuri tu bado kiwango chake akijashuka

    Jibu

    Chelsea msimu huu wafanye usajili mzuri wa wachezaji

    Jibu

    Chelsea wanataka kikosi kilicho bora

    Jibu

    Klabu nyingi zinasua kusajili

    Jibu

    Arsenal wamepata jembee kumpata gabriel maana usajili wao hawakosea kwasababu kijana yuko vizuri

    Jibu

    mbona kitambo tu arsenal washafanya yao

    Jibu

    Chelsea wafanye kwel siyo kuleta story tu zw utetezi tu

    Jibu

    Chelsea fanyeni kweli sio polojo mdomoni tuu

    Jibu

    Tetesi zimekua nyingi kuliko matendo

    Jibu

    Manchester imchukue douglas costa itakuwa safi sana

    Jibu

    Asante kwataharifa

    Jibu

    Arsanal wakimpata Gabriel itakua Poa sana

    Jibu

    Arsenal wakamilish uyu mchezaji mzur san

    Jibu

    Timu zote zmejtahid kwa kusajl wachezaj wazur

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Imekaa poa hii

    Jibu

    Tetesi ziko vizuri.

    Jibu

    Wawoo wesha fanikiwa

    Jibu

    united waweke dau mezani wamchukue uyo winga yupo vizuri

    Jibu

    Kocha mpya wa Barcelona akaze awachukue so jamaa

    Jibu

    EPL inaushindan mkubwa sana kiukwel katika msimu wa usajil atashindwa ajiandae kombe kuangalia

    Jibu

    Mambo ya soka hayoo!!!

    Jibu

    Bado klabu nyingi zinasuasua kwenye usajiri,tetesi zimekuwa nyingi kuliko matendo

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.