Tetesi zinasema, Arsenal bado wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa Uhispania Alvaro Morata, 29, ambaye yuko kwa mkopo Juventus kutoka Atletico Madrid.

Tetesi zinasema, Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anataka klabu hiyo kuongeza mkataba wa mshambuliaji wa Uingereza Raheem Sterling, 27.

 

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Houston Dynamo wametoa ofa ya kumsajili kiungo wa kati wa Atletico Madrid na Mexico Hector Herrera, 31.

Mlinzi wa Real Madrid Lucas Vazquez, 30, anataka kuondoka katika klabu hiyo ili kucheza soka katika kikosi cha kwanza ili aweze kuwa katika kikosi cha Uhispania kwenye Kombe la Dunia.

Tetesi zinasema, Vilabu vitatu vya Italia Inter Milan, AC Milan na Juventus wote wanavutiwa na mshambuliaji wa Barcelona na Uholanzi Memphis Depay, 28.

 

Barcelona

Tetesi zinasema, Tottenham wanaongoza katika kinyang’anyiro cha kumsajili mlinzi wa Inter Milan na Uholanzi Stefan de Vrij, 30.

Everton inaweza kujaribu kumsajili mmoja wa wachezaji watatu wa Chelsea wanaocheza kwa mkopo Billy Gilmour, Conor Gallagher au Armando Broja msimu huu wa joto.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa ndege yako na ujishindie zawadi kibao.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa