Tetesi zinasema, Chelsea wanajiandaa kumuacha Mshambuliaji wao Mbelgiji Romelu Lukaku,28 aondoke katika klabu hiyo msimu huu , huku Inter Milan na Paris St-Germain zakimnyatia.

Tetesi zinasema, Manchester United bei ya pauni milioni 40 kumuuza mlinda lango wa England Dean Henderson, 25, ambaye yuko tayari kuondoka Old ttraford msimu huu.

Meneja ajaye wa Manchester United Erik ten Hag atamleta msaidizi wake wa Ajax Mitchell van der Gaag pamoja naye katika Old Trafford lakini Robin van Persie bado hajaamua juu ya ofay a kumtaka ajiunge na kikosi cha wakufunzi katika klabu hiyo.

 

Erik ten Hag

Tetesi zinasema, Mlinzi wa West Ham Mfaransa Issa Diop, 25, amekuwa ndiye mchezaji anayelengwa na Lyon kuhamia katika Ligi ya Ufaransa.

Manchester City wamefanya mazungumzo zaidi juu ya pendekezo la kumsajili kwa mshambuliaji Mnorway Erling Braut Haaland, 21 katika kikosi cha Borussia.

Roma wanaangalia uwezekano wa kumuachilia kiungo wa kati Nicolo Zaniolo aondoke mwishoni mwa msimu na wataangalia uwezekano wa ofa ya euro zipatazo milioni 60 (£49.6m) huku klabu za Serie A na Primia Ligi zikimtaka mchezaji huyo.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Liverpool wanamfukuzia beki wa klabu ya Aberdeen Mskochi Calvin Ramsay na wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18 kukaba nafasi ya Trent Alexander-Arnold.

Tetesi zinasema, Klabu ya Ureno ya Braga inamtaka nyota wa Juventus Andrea Pirlo, 42, kuwa meneja wao msimu ujao.

Paris Saint-Germain tayari wameshindwa kuelewana na Mauricio Pochettino na wanamatumaini ya kumteua Zinedine Zidane kama kocha wao mpya.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa