Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa Manchester City na Uingereza Raheem Sterling, 27, yuko kwenye orodha ya wachezaji ambao AC Milan inataka kuwasajili.

Real Madrid na Barcelona wanataka kumsajili beki wa Chelsea na Ujerumani Antonio Rudiger, 29, ambaye kandarasi yake inamalizika mwisho wa msimu huu, lakini anataka kusalia Stamford Bridge.

 

Chelsea, Bayern OUT Ligi ya Mabingwa.

Manchester United watalazimika kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa ikiwa wanataka kumsajili mshambuliaji wa RB Leipzig na Ufaransa Christopher Nkunku, 24. Nkunku amefunga mabao 30 katika mechi 44 msimu huu.

Tetesi zinasema, Manchester United wamefufua nia yao ya kumsajili beki wa Villarreal na Uhispania Pau Torres, 25, msimu huu.

Tottenham wana imani ya kusalia na mshambuliaji wa Uingereza Harry Kane, 28, msimu huu wa joto na wanawania kumrudisha katika klabu hiyo kiungio wa kati wa Brentford na Denmark Christian Eriksen, 30.

Beki wa Arsenal na Ufaransa William Saliba, 21, anasema kuna uwezekano huenda akasalia Marseille kwa mkopo hata baada ya msimu kuisha.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Tottenham wanataka kumsajili kiungo wa kati wa Roma na Italia Nicolo Zaniolo, 22.

Bayern Munich wanakaribia kukamilisha mchakato wa kumsajili Beki wa kulia wa Ajax na Morocco Noussair Mazraoui, 24.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa