Tetesi za zinasema, Real Madrid wana uhakika wa kumsajili Kylian Mbappe, 23, na watafanya kila wawezalo kumpata mshambuliaji huyo wa Paris St-Germain.

Everton inamfuatilia Adama Traore, 26 wa Wolves kwa nia ya kumsajili winga huyo wa Uhispania ikiwa Barcelona itakataa chaguo la kufanya uhamisho wake wa mkopo Nou Camp kuwa wa kudumu.

Kocha anayekuja wa Manchester United Erik ten Hag atakuwa na £200m za kutumia kununua wachezaji wapya, huku wachezaji sita wa kikosi cha kwanza wakitarajiwa kuondoka katika msimu wa joto.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Anthony Martial huenda akarejea Old Trafford baada ya kuchezea Sevilla kwa mkopo wa msimu mzima.

Wawakilishi wa Paul Pogba wanafanya mazungumzo na Juventus na Real Madrid kuhusu uhamisho wa majira ya joto, wakati kiungo huyo wa kati wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 29 atakapokuwa mchezaji huru.

Tottenham itamsajili winga wa Uswidi Dejan Kulusevski kwa mkataba wa kudumu katika majira ya joto. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 yuko amekuwa nao kwa mkopo wa miezi 18 na Tottenham wameamua kulipa Juventus ada ya pauni milioni 24.9 msimu huu.

Wachezaji wa ulinzi wa Torino, Mbrazil Gleison Bremer, 25, na mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast Wilfried Singo, 21, wanalengwa na mkurugenzi wa soka wa Tottenham Fabio Paratici.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Leeds na Everton wanapanga kumnunua mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Michy Batshuayi, 28, ambaye kwa sasa yuko kwa mkopo Besiktas.

West Ham wanavutiwa na winga wa Club Bruges Noa Lang, lakini wanakabiliwa na ushindani kutoka kwa AC Milan kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Uholanzi, 22.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa