Tetesi zinasema, Paris St-Germain inatarajia kumtimua meneja wake Mauricio Pochettino huku kocha wa Tottenham, Antonio Conte na Zidane wakitajwa kuchukua nafasi yake.

Tetesi zinasema, Arsenal inakaribia kumnasa mshambuliaji wa Napoli na Nigeria Victor Osimhen, 23.

Chelsea huenda ikafufua tena mbio zake za kumnasa mlinzi wa Sevilla na Ufaransa Jules Kounde, 23, dirisha lijalo baada ya kuthibitishwa kuwa Antonio Rudiger ataondoka klabuni hapo.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, 25, amegoma kusalia City baada ya msimu kumalizika. Inaaminika Arsenal watakamilisha uhamisho wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Brazìl.

Chelsea na Tottenham wanamfuatilia mshambuliaji wa Inter Milan Martin Satriano, 21. Mruguay huyu kwa sasa anakipiga kwa mkopo katika klabu ya Ufaransa ya Brest.

Kiungo wa kimataifa wa Brazil anayehusishwa na Newcastle Lucas Paqueta, 24, ameiambia klabu yake ya sasa ya Lyon kwamba atafanya uamuzi wa hatma yake mwishoni mwa msimu.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Kiungo wa zamani wa Manchester United, Roy Keane anatajwa kuwania nafasi ya kukinoa kikosi cha Hibernian.

Kiungo wa Misri Mohamed Elneny, 29, anasema anaweza kusaini mkataba mpya kusalia Arsenal hata kama hatapewa uhakika wa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza.

 


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa