Tetesi zinasema, Liverpool imefanya mawasiliano na kiungo wa Ufaransa na Monaco Aurelien Tchouameni, 22.

Paris St-Germain wanamatumaini kwamba mshambuliaji wake mfaransa Kylian Mbappe, ambaye amekuwa akihusishwa na Real Madrid, atasaini mkataba mpya kufuatia mazungumzo yao na mama wa nyota huyo mwenye miaka 23 wiki iliyopita.

Tetesi zinasema, Manchester United inapanga kuzungumza na kipa mhispania David de Gea, 31 kuhusu mkataba mpya.

 

De Gea Kusepa United Mwishoni mwa Msimu.

Kiungo mholanzi Donny van de Beek, 25, atapewa nafasi Manchester United msimu ujao na kocha Ten Hag.

Arsenal watahitaji kutoa kitita cha £67.7m kumsajili mshambuliaji wa England Tammy Abraham, 24, kutoka Roma.

Tetesi zinasema, Mlinzi mfaransa Jules Kounde anataka kuondoka Sevilla msimu wa kiangazi na nyota huyo mwenye miaka 23 anaitazama zaidi Chelsea.

Chelsea inamfuatilia mlinzi wa Ujerumani Amos Pieper, 24, ambaye mkataba wake na klabu ya Bundesliga Arminia Bielefeld unamalizika mwishoni mwa msimu.

Tetesi zinasema, Newcastle inamtaka kiungo wa Tottenham na Denmark Pierre-Emile Hojbjerg, 26.

 

Lewandowski

Kuna matumaini makubwa pale Barcelona kwamba mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski, 33, anaweza kujiunga nao msimu huu akitokea Bayern Munich.

Nyota wa kimataifa wa Croatia Luka Modric, 36, anajiandaa kusaini mkataba mwingine mpya Real Madrid, utakaomalizika mwaka 2023.

Newcastle United inakaribia kumalizana na mlinzi wake raia wa Switzerland Fabian Schar, 30 kwa kumpa mkataba mpya, mkataba wake wa sasa unamalizika mwishoni mwa msimu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa