Tetesi zinasema, Manchester City wanaweza kumuuza mshambuliaji wa Algeria Riyad Mahrez, 31, msimu huu.

Pep Guardiola,51 hataharakisha kuongeza mkataba wake Manchester City baada ya Jurgen Klopp kusaini mkataba mpya na wapinzani wake Liverpool. Mkataba wake wa sasa utakamilika 2023.

 

Guardiola

Tetesi zinasema, Manchester City wanakusudia kurefusha mkataba wa kiungo wa kati wa Uingereza Phil Foden,21, hadi 2027.

Beki wa zamani wa Manchester United Gary Neville anasema mkufunzi wa klabu hiyo Ralf Rangnick hapaswi kuchukua nafasi ya ushauri baada ya kukubali nafasi ya kuwa kocha wa Austria.

Tetesi zinasema, Lazio wanafikiria kumnunua kiungo wa kati wa Chelsea na Uingereza Ruben Loftus-Cheek, 26.

 

Jude Bellingham Mfungaji Kinda Katika Historia Ya Dortmund.

Liverpool huenda wakamnunua kiungo wa kati wa Borussia Dortmund wa miaka 19- Jude Bellingham, huku mikataba kadhaa ya wachezaji wao wa sasa ikielekea kumalizika.

Napoli wako tayari kumnunua beki wa Scotland l Aaron Hickey. Bologna wanataka £18m kumwachilia kiungo huyo wa miaka19, ambaye pia amewavutia wababe wa Serie A AC Milan na Juventus pamoja na Newcastle na Brentford.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa