Tetesi zinasema, Mshambuliaji wa England Marcus Ruishford , 24 amehusishwa na habari za kuondoka katika klabu ya Manchester United , lakini atapewa kwanza nafasi na kocha mpya.

Tetesi zinasema, Beki wa Arsenal na raia wa Brazil Gabriel Magalhaes, 24, huenda akahamia katika klabu ya Juventus mwisho wa msimu huu.

Kiungo wa kati wa Ubelgiji Youri Tielemans, ambaye ana kandarasi na klabu ya Leicester City hadi 2023, angependelea uhamisho wa kuelekea Uhispania iwapo ataondoka katika klabu hiyo.

 

Tielemans Hana Mapango wa Kuendelea Kusalia Leicester

Kiungo wa kati wa West Ham, Declan Rice, 23 amehusishwa na klabu za Chelsea, Manchester City na Manchester united lakini mchezaji huyo anasema kwamba ni muhimu kutojisahau kufuatia tetesi za klabu hizo.

Manchester United ilimtuma maskauti wake kumtazama kiungo wa kati wa Ureno Ruben Neves akiichezea Wolves katika mechi ambayo klabu hiyo ilifungwa 3-0 na Brighton siku ya Jumamosi.

Juventus imempatia ombi kiungo wa kati wa Chelsea Jorginho kurudi katika klabu hiyo ya ligi ya Serie A , huku kandarasi ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30, ikitarajiwa kukamilika 2023.

 

Jorginho

Beki wa kushoto wa Chelsea Marcos Alonso ni mmoja ya wachezaji ambao klabu ya Barcelona inataka kuwasajili , huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 akitaka kurudi nchini Uhispania mwisho wa msimu huu .

Napoli wanataka kumsajili mshambuliaji wa Chelsea, Armando Broja, 20 huku mshambuliaji huyo wa Albania akionesha mchezo mzuri akiwa katika mkopo na klabu ya Southampton msimu huu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa