Tetesi zinasema, Barcelona wameongeza juhudi za kumsajili winga wa Brazil Raphinha, 25, na wako tayari kutoa mikataba tofauti kulingana na ikiwa Leeds United itasalia kwenye Ligi ya Premia msimu huu.

Barcelona hawana nia ya kulipa ada ya euro milioni 30 (£25.3m) kubadilisha uhamimisho wa mkopo wa winga wa Uhispania wa mika 26-Adama Traore kutoka Wolves kuwa mkataba wa kudumu badala yake wanaka mpango wa kubadilishana wachezaji.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Arsenal wanataka kumsajili mshambuliaji wa Inter Milan na timu ya taifa ya Argentina Lautaro Martinez, japokuwa wakala wa kiungo huyo wa miaka 24- amesema mchezaji mwenyewe hajafikiria kuondoka.

Tetesi zinasema, Mlinzi wa kati wa Borussia Monchengladbach na Ujerumani Matthias Ginter, 28, amekataa uhamisho wa msimu wa joto kwenda Aston Villa na badala yake atajiunga na Freiburg.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Newcastle wamepewa ofa ya kumsajili mshambuliaji wa Watford na Senegal Ismaila Sarr, huku Hornets wakitaka pauni milioni 40 kumuachilia kiungo huyo wa miaka 24-year-old.

Tetesi zinasema, Liverpool wanamfuatilia beki wa kulia wa Aberdeen na Scotland wa chini ya miaka -21 Calvin Ramsay, 18.

West Ham huenda wakamkosa mshambuliaji wa Sparta Prague na Jamhuri ya Czech Adam Hlozek, 19, licha ya kupewa nafasi ya kumsajili kwa mkopo msimu huu wa joto.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa