Tetesi zinasema, Manchester City wana nia ya kusajili kiungo wa kati wa Manchester United na Ufaransa Paul Pogba, 29, kwa uhamisho huru.

Meneja wa Brighton Graham Potter ndiye anayependelewa kuchukua nafasi ya Antonio Conte katika Tottenham. Brighton wanataka fidia ya pauni milioni 10 kutoka kwa Spurs iwapo Conte ataondoka mwishoni mwa msimu.

 

Ronaldo

Meneja wa Manchester United Erik ten Hag anamtaka mshambuliaji Mreno Cristiano Ronaldo kubakia katika klabu hiyo . Ronaldo mwenye umri wa miaka 37 amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake.

Tetesi zinasema, Chelsea wanaangalia uwezekano wa uhamisho kwa ajili ya mlinzi Mbrazili Gleison Bremer, 25.

Tetesi zinasema, Arsenal wanamtaka kiungo wa kati wa Juventus Mbrazili Arthur Melo, 25.

Tetesi zinasema, West Ham wanaangalia uwezekano wa kumhamisha kiungo wa kati wa Bunley mwenye umri wa miaka 26 Brownhill.

Lukaku

Meneja wa Chelsea, Thomas Tuchel nanasema mshambuliaji wa Ubelgiji, Romelu Lukaku anaendelea kuwa sehemu muhimu ya mipango yake kwa ajili ya msimu ujao.

Meneja wa Leicester Brendan Rodgers ameazimia kukibadilisha kikosi chake katika hatua inayoweza kupelekea wachezaji kadhaa wa timu kuondoka katika klabu hiyo.

Barcelona wamefikia mafanikio katika mazungumzo yao na kiungo wa kati wa Uhispania mwenye umri wa miaka 17 ambaye pia analengwa na Liverpool, Gavi.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa