Tetesi zinasema, Newcastle United imezungumza na Philippe Coutinho kujaribu kuipiku Aston Villa katika mbio za kumsajili kiungo huyo mbrazil kwa mkataba wa kudumu kutoka Barcelona.

Tetesi zinasema, West Ham inamuania mshambuliaji wa Aston Villa na England Ollie Watkins, 26, huku klabu hiyo ya Midlands ikitarajiwa kutaka £50mil ili kumuachia.

Barcelona wako tayari kumpa mshahara mnono wa £11mil kwa mwaka nahodha wa Chelsea captain Cesar Azpilicueta, lakini wanatatizwa na kanuni za fedha hizo hawataweza kumpa mshahara mnono mlinzi huyo wa Hispania.

 

Cesar Azpilicueta

Real Madrid imeweka £340m kwenye mkataba wa Antonio Rudiger akitaka kuuzwa huko baadae baada ya mlinzi huyo mjerumani kusaini mkataba wa miaka 4 wenye thamani ya £315,000 kwa wiki akitokea Chelsea bure.

Leicester City inatarajia kiungo wake mbelgiji Youri Tielemans, 25 ataondoka mwishoni mwa msimu na Foxes hao wanajiandaa kusikiliza ofa ya angalau £40m kwa ajili ya nyota huyo ambaye mkataba wake unamalizika mwaka 2023.

Tetesi zinasema, Manchester United na Newcastle United wanamtaka mshambuliaji Mnigeria Victor Osimhen lakini Napoli inataka angalau £85.5m ili kumuachia nyota huyo mwenye miaka 23.

Rais wa Lazio Claudio Lotito anasema alikataa ofa ya £120m kwa ajili ya kiungo wa Serbia Sergej Milinkovic-Savic, 27 anayewaniwa na Manchester United na Paris St-Germain.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Manchester United iko tayari kulipa £38m kwa ajili ya mlinzi wa Sporting Lisbon, mreno Goncalo Inacio, 20.

Sevilla wanaweza kumsajili winga wa Arsenal Nicolas Pepe, 26, mwishoni mwa msimu, huku thamani ya nyota huyo wa kimataifa wa Ivory Coast ikitajwa kushuka mpaka £25m.

Tetesi zinasema, AC Milan wanavutiwa na mlinzi wa Arsenal na Ufaransa William Saliba, 21, ambaye yuko kwa mkopo Marseille.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa