Tetesi zinasema, Real Madrid wanaamini kwamba wanaweza kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Ufaransa na Paris St-Germain, Kylian Mbappe wakati wowote japo bado hajaamua kuhusu mustakabali wake.

Rais wa Bayern Munich Herbert Hainer anasema Lewandowski yuko na mkataba na mabingwa hao wa Bundesliga mpaka June 2023 na hawako tayari kumuachia mchezaji huyo.

Tetesi zinasema, Chelsea imefikia makubaliano ya awali ya kumsajili winga wa Croatia Ivan Perisic, 33, bure akitokea Inter Milan na beki wa Sevilla, Jules Kounde.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Kiungo wa Barcelona na Uholanzi Frenkie de Jong, 25, anajiandaa kukataa kuhamia Manchester United, aambapo kocha Erik ten Hag anatarajia kuwaruhusu wachezaji wote wenye nia ya kuondoka Old Trafford msimu huu.

Kiungo wa England Jude Bellingham, 18, amezungumzia tetesi zinazomuhusisha kuhamia kati ya Manchester United au Liverpool kwa kuthibibitisha kwamba atasalia Borussia Dortmund msimu ujao.

Mshambuliaji wa Chelsea na Ubelgiji Romelu Lukaku, 29, anasema hataruhusu mtu kuzungumza kwa niaba yake baada ya wakala wake Federico Pastorello kuzungumza na gazeti moja la Italia kuhusu uwezekano wa kurejea Italia.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

Tetesi zinasema, Wakala wa mshambuliaji wa Juventus na Argentina Paulo Dybala, 28, ameelezwa yuko London kufuatilia ofa kutoka klabu za ligi kuu, ikiwemo Arsenal.

West Ham wako tayari kujiondoa katika mbio za kumsajili beki wa kati wa Burnley Muingereza English James Tarkowski, 29, wakitarajia mlinzi huyo kujiunga na Newcastle msimu huu.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa